Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Wydad Casablanca wamechukua ndoo ya Klabu bingwa Afrika baada ya kumpiga Alahly 2:0.
Kama Msuva angevuta subira kidogo tu leo ingekuwa storry ingine kabisa.
Angekuwa Mtanzania wa pili baada ya Samata kuchukua CAF CHAMPIONS LEAGUE, mbona tungetamba!.
Lakini ndo hivyo tena kama mlivyosikia. Very sorry for him. Ndio maana kuna msemo mvumilivu hula mbivu.