Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

IMG_2616.jpg

Tuishi na ChatGPT
 
Hili sio swali nililouliza mimi chief.
Hilo hapo juu mkuu. Kama umeielewa hiyo njia, itumie kufanya maswali yafuatayo. hii ni homework kwa wengine.

1) 2^x=4x
2) 2^x=x^4
3) 3^x=9x
4) 3^x=x^9
5) 27^x=9x
6) 5^x=50/x
7) 2^(6-x)=x
8) x+2^x=3
Screenshot_20231125-203959_Math Editor.jpg
 
Habari za wakati huu wana jamiiforum

Kuna ka swali hapa ka O level kana sumbua hivyo nataka kuwasirisha kwa watabe wa jamii forum ila niweze kupata solution yake

SWALI :

2^(8-x) = 8x

Yaani :

Two power eight minus X equals to eight x(eight times X )

Find the value of X.

Asante ,

nahitaji soulution , si jibu pekee !
2^(8-x)=8x
2^(8-x)=2^3(X)
Aply log
log2^(8-x)=log2^3(X)
(8-x)log2=3log2(X)
Cancel log2
8-x=3(X)
8-x=3x
8=3x+X
8=4x
Gawanya Kwa 4 kilaupande
X=2
 
Haya maswali ni magumu, mimi mwenyewe yananihangaisha. Yajaribu. Tumia njia yoyote ila usitumie graph.

Screenshot_20231230-103424_Math Editor.jpg
 
Back
Top Bottom