Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Uko na miaka almost 60, Mimi hata nusu yake sijafikia Lakini maendeleo nakuzidi kwa Mbali kabisa. Nani Chokoraa hapa.
Mtu mzima, mwili mkubwa akili umenyimwa. Ptyuuuuuu
Public ipi inayokukubali le shatiz kubwaaz kufunika starlet
Voda wanakubali brand yao inazalilishwa namna hii?
Sio mzima wewe- Sasa unakataa nini unakubali nini, kama hunikubali kwa nini unapoteza muda wako kukimbilia habari zangu hahahaha hii Social Media ni game ya wenyewe kama mimi tunapiga pesa humu, wewe utabakia kutumia majina ya bandia kulia lia hahahahaha!!
le Mutuz
Sio mzima wewe