Kama mtu unakubalika kwanini uombe kura?

Kama mtu unakubalika kwanini uombe kura?

Uko na miaka almost 60, Mimi hata nusu yake sijafikia Lakini maendeleo nakuzidi kwa Mbali kabisa. Nani Chokoraa hapa.

Mtu mzima, mwili mkubwa akili umenyimwa. Ptyuuuuuu

- HAHAHhahahaha ungekuwa na maendeleo usingepoteza muda wako hapa kwa kutumia majina ya bandia kushindana na usiowajua, kama unataka ajira njoo sinza mori at Africa Swahili TV nitakupatia ajira maana kulala macho humu kulia lia na umri wa wanaume usiowajua sio kawaida lazima una matatizo makubwa sana hahahahahahaha

le Mutuz
 
Public ipi inayokukubali le shatiz kubwaaz kufunika starlet

- Sasa unakataa nini unakubali nini, kama hunikubali kwa nini unapoteza muda wako kukimbilia habari zangu hahahaha hii Social Media ni game ya wenyewe kama mimi tunapiga pesa humu, wewe utabakia kutumia majina ya bandia kulia lia hahahahaha!!

le Mutuz
 
Voda wanakubali brand yao inazalilishwa namna hii?

- Ulivyowataja hapo kwa sababu yangu inatosha ndio nia na madhumuni hahahahahahahahaa sisi ngoja tuendelee kupiga pesa na wengine kama wewe endeleeni kuja na majina ya bandia kulia lia hahahahah

le Mutuz
 
- Sasa unakataa nini unakubali nini, kama hunikubali kwa nini unapoteza muda wako kukimbilia habari zangu hahahaha hii Social Media ni game ya wenyewe kama mimi tunapiga pesa humu, wewe utabakia kutumia majina ya bandia kulia lia hahahahaha!!

le Mutuz
Sio mzima wewe
 
Navuta picha kila.za kama huyu ndio kaka yangu sijui ningeifichia wapi sura yangu,namshukutu muumba kwa kweli
 
Back
Top Bottom