Kama mtu unakubalika kwanini uombe kura?

Kama mtu unakubalika kwanini uombe kura?

Prince Akeem

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
884
Reaction score
376
b0ac2617136755ae858df129fe0ab3d4.jpg



Le Mutuz ndio ni akili kubwa lakini kutwa nzima kukaa na kulia lia kuomba Kura kwenye Mitandao
 
kwani kuna ubaya?? we kama hutaki kumpigia si uache,hujalazimishwa...
halafu anafanya hivyo kuwakumbusha tu watu wasisahau kumpigia kura...
some people may be willing to vote for him ila wanasahau kwa sababu fulani...
and some wanatamani kumpa votes ila hawajui how so ni jukumu lake kuwaelekeza...
 
Anapigiwa kura ya nini? Kuna mashindano gani?
 
Mbona kwenye Tuzo nyingine za wasanii huwa kuna kampeni za kuomba kura, muacheni aombe kura.
 
Ila kwa umri wake na hadhi yake hakutakiwa kushiriki kwenye tunzo kama hivyo. Alitakiwa aingie awards za noble prize huko
 
kura za nini au kama zile za peoples of rwanda na mzee?
 
b0ac2617136755ae858df129fe0ab3d4.jpg



Le Mutuz ndio ni akili kubwa lakini kutwa nzima kukaa na kulia lia kuomba Kura kwenye Mitandao

- Huelewi na nilijua kwa kuwa ninawatesa kwenye kura maana peke yangu ndiye ninayeongoza kwa kura katika washindani wote wa INSTAGRAM AWARDS nina kura nyingi sana kuliko wote so mtakuja na maneno maneno, wewe utakuwa ni mgeni sana wa Voting Online System, kupiga kura kwenye online ni ngumu sana kwa watumiaji wa kupiga kura online so wanahitaji kukumbushwa kila wakati namna ya kupiga kura.

- So relax and take that back hakuna kura Duniani zinapigwa bila kuomba kwani Hatukuwa tunawajua Lowassa na Magufuli? Sasa kwa nini walikuwa wanahangaika kutafuta kura? Kwani Wamarekani walikuwa hawawajui Mama Clinton na Trump? Kwa nini wametumia Mwaka mzima kuomba kura?

- Yamekushinda tuachie tunaowayeza kama hutaki kupiga kura usipige, kura ni a process leading to the final yaani Awards, so wala sihitaji kura tena cause nina kura 1,760 anayenifuata ana kura 350 na mwisho ni kesho, pole sana mashindano kwa upande wangu yameisha ila I am just having fun, kuomba kura ni lazima sana ndio maana Lowassa na Magufuli waliomba kura pamoja na kwamba tunawafahamu.

- NAKUSHUKURU SANA KWA KUNIPIGIA KURA KIMYA KIMYA BILA KUJUA UNACHOFanya

le Mutuz Nation
 
Back
Top Bottom