Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Kuficha upumbavu ni ngumu sana!Maelezo ya onyo ya Adam Kusekwa mmeyachukua kama ushahidi. Na kwa mantiki hii ni kuwa alikiri kufanya mnayodai kuwa njama za ugaidi.
Mengine mnataka kuleta Mbwembwe kama golikipa Spear Mbwembe.
Malizeni kesi, toeni hukumu mapema.
Sasa nyuzi za kesi ya mbowe mbona ziko nyingi tu ungepeleka huko hii ya kwako.Maelezo ya onyo ya Adam Kusekwa mmeyachukua kama ushahidi. Na kwa mantiki hii ni kuwa alikiri kufanya mnayodai kuwa njama za ugaidi.
Mengine mnataka kuleta Mbwembwe kama golikipa Spear Mbwembe.
Malizeni kesi, toeni hukumu mapema.
Tuondolee ujuha wako wa kiccm hapaMaelezo ya onyo ya Adam Kusekwa mmeyachukua kama ushahidi. Na kwa mantiki hii ni kuwa alikiri kufanya mnayodai kuwa njama za ugaidi.
Mengine mnataka kuleta Mbwembwe kama golikipa Spear Mbwembe.
Malizeni kesi, toeni hukumu mapema.
We kahaba kaa kimya.Tuondolee ujuha wako wa kiccm hapa
Kahaba Bimkubwa wakoWe kahaba kaa kimya.
Sio kila ushahidi unao pokelewa kwamba umekubalika. Kuna shahidi nyingine ni za uongo. Majumuisho ya Jaji ndiyo yataonyesha upi ni ushahidi sahihi na ni upi wa uongo.Caution statement imechukuliwa na mahakama kama ushahidi. Unaelewa maana yake?
Nimeangalia jina lako nacheka tuuu