Kama mtuhumiwa mwenzake na Mbowe alikiri kupanga njama za ugaidi, Jamhuri inachelewesha nini kufunga ushahidi ili kesi iishe?

Kama mtuhumiwa mwenzake na Mbowe alikiri kupanga njama za ugaidi, Jamhuri inachelewesha nini kufunga ushahidi ili kesi iishe?

Maelezo ya onyo ya Adam Kusekwa mmeyachukua kama ushahidi. Na kwa mantiki hii ni kuwa alikiri kufanya mnayodai kuwa njama za ugaidi.

Mengine mnataka kuleta Mbwembwe kama golikipa Spear Mbwembe.

Malizeni kesi, toeni hukumu mapema.
Sasa nyuzi za kesi ya mbowe mbona ziko nyingi tu ungepeleka huko hii ya kwako.

Admin pls ishu ya kesi ya mbowe iwe na uzi mmoja tu
 
Maelezo ya onyo ya Adam Kusekwa mmeyachukua kama ushahidi. Na kwa mantiki hii ni kuwa alikiri kufanya mnayodai kuwa njama za ugaidi.

Mengine mnataka kuleta Mbwembwe kama golikipa Spear Mbwembe.

Malizeni kesi, toeni hukumu mapema.
Tuondolee ujuha wako wa kiccm hapa
 
Caution statement imechukuliwa na mahakama kama ushahidi. Unaelewa maana yake?
Sio kila ushahidi unao pokelewa kwamba umekubalika. Kuna shahidi nyingine ni za uongo. Majumuisho ya Jaji ndiyo yataonyesha upi ni ushahidi sahihi na ni upi wa uongo.
 
Back
Top Bottom