Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Kuficha upumbavu ni ngumu sana!Maelezo ya onyo ya Adam Kusekwa mmeyachukua kama ushahidi. Na kwa mantiki hii ni kuwa alikiri kufanya mnayodai kuwa njama za ugaidi.
Mengine mnataka kuleta Mbwembwe kama golikipa Spear Mbwembe.
Malizeni kesi, toeni hukumu mapema.