johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sio kuchanganya machugwa na mayai ni kuchanganya maji na mkojo.Kwani Mwamposa na huyo Shehe ni imani moja? Mbona unachanganya machungwa na mayai? Likes and unlikes?
Mungu ni mmoja yule yule wa Ibrahim ππππKwani Mwamposa na huyo Shehe ni imani moja? Mbona unachanganya machungwa na mayai? Likes and unlikes?
Wapagani mko Wengi SanaSio kuchanganya machugwa na mayai ni kuchanganya maji na mkojo.
Umejua kunichekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mitume au wahuni tu, Mitume gani wameshindwa kuombea hata umeme tu
Subiri mwenyewe anakuja kukujibuHawa akina Mtume Mwamposa na wenzake ambao sheikh mstaafu wa mkoa wa DSM Alhad Musa Salum alisema hata wake za mashehe wanaenda Kawe kuombewa ni Mtume wa ngapi na wa nani?
Muhammad mtume wa Allah, wewe ulimsikia wapi Mwamposa akisema anamtambua Allah?Nimemsikia shehe wa DSM sheikh Walid akisema Mtume Muhammad SAW ndiye Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu
Swali:
Hawa akina Mtume Mwamposa na wenzake ambao sheikh mstaafu wa mkoa wa DSM Alhad Musa Salum alisema hata wake za mashehe wanaenda Kawe kuombewa ni Mtume wa ngapi na wa nani?
Mungu ni mmoja ndio sababu kuna Yesu kwa Wakristo na Issa bin Mariam kwa Waislamu ni yule yuleMwamposa na uislamu wapi na wap Mkuu, ivi upo sawa kweli?
View attachment 2949087
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mtume wa kupewa Jina ni Sawa na Ile title ya Dokta au Injinia wa Heshima Ila sio Dokta wala sio Injinia, nimehisi kwa sauti kwa hio Mwauposa ni Mtume wa kupewa Jina hilo kwa Heshima Ila sio Mtume wa kuchaguliwa na Mungu au Mtume km mitume wengine wakina Moamedi na wengineoMuhammad mtume wa Allah, wewe ulimsikia wapi Mwamposa akisema anamtambua Allah?
Soma (wagalatia 1:8).Nimemsikia shehe wa DSM sheikh Walid akisema Mtume Muhammad SAW ndiye Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu
Swali:
Hawa akina Mtume Mwamposa na wenzake ambao sheikh mstaafu wa mkoa wa DSM Alhad Musa Salum alisema hata wake za mashehe wanaenda Kawe kuombewa ni Mtume wa ngapi na wa nani?
Sio kweli, Allah na Yehova ni Miungu wawili tofauti. Ndio mana kila Mungu hapo anautaratibu wake.Mungu ni mmoja yule yule wa Ibrahim ππππ