Kama Mtume Muhammad SAW ndiye Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu hawa akina Mwamposa na wenzake ni Mitume wa nani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimemsikia shehe wa DSM sheikh Walid akisema Mtume Muhammad SAW ndiye Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu

Swali:

Hawa akina Mtume Mwamposa na wenzake ambao sheikh mstaafu wa mkoa wa DSM Alhad Musa Salum alisema hata wake za mashehe wanaenda Kawe kuombewa ni Mtume wa ngapi na wa nani?
 
Mwamposa na uislamu wapi na wap, ivi upo sawa kweli?

20240328_235858.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Nimemsikia shehe wa DSM sheikh Walid akisema Mtume Muhammad SAW ndiye Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu

Swali:

Hawa akina Mtume Mwamposa na wenzake ambao sheikh mstaafu wa mkoa wa DSM Alhad Musa Salum alisema hata wake za mashehe wanaenda Kawe kuombewa ni Mtume wa ngapi na wa nani?
Muhammad mtume wa Allah, wewe ulimsikia wapi Mwamposa akisema anamtambua Allah?
 
Mtume wa kupewa Jina ni Sawa na Ile title ya Dokta au Injinia wa Heshima Ila sio Dokta wala sio Injinia, nimehisi kwa sauti kwa hio Mwauposa ni Mtume wa kupewa Jina hilo kwa Heshima Ila sio Mtume wa kuchaguliwa na Mungu au Mtume km mitume wengine wakina Moamedi na wengineo
 
Kuwa na akili basi, CCM inaingiaje hàpo?
QUOTE="Tate Mkuu, post: 49800354, member: 535381"]
Hao wakina Mwamposa, kitambo tu ni mitume wa ccm. Siku ccm ikiondolewa madarakani, na wenyewe watapotea kusikojulikana.
[/QUOTE]
 
Nimemsikia shehe wa DSM sheikh Walid akisema Mtume Muhammad SAW ndiye Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu

Swali:

Hawa akina Mtume Mwamposa na wenzake ambao sheikh mstaafu wa mkoa wa DSM Alhad Musa Salum alisema hata wake za mashehe wanaenda Kawe kuombewa ni Mtume wa ngapi na wa nani?
Soma (wagalatia 1:8).

Quran imeletwa miaka ya hivi karibuni baada ya Yesu kufufuka na kupaa mbinguni,

Hivyo mtume wa waislamu ni WA UONGO.
 
Back
Top Bottom