Kama mtumishi wa umma simpigii kura Magufuli kwa kutoboresha maslahi yangu, wewe kwanini hutamchagua?

T2020

Senior Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
158
Reaction score
361
Inawahusu wasiomchagua JPM tu. Mimi Kama mtumishi wa umma hajaongeza mshahara wangu kwa miaka yote 5, ananikata 15% badala ya 8% kama mkataba wangu na Loan Board unavyosema. Kwa sababu hizo kura yangu hapati. Wewe serikali yake katika sekta yako kwa nini hapati kura yako?
 
Ndugu, ukipiga usipooiga hiko chama kina shinda kwa kushindi. Hatuna jinsi
 
Unatushirikisha kwenye jambo lako la nn ss?!,wewe baki na misimamo ysko km unsona itakusaidia,
 
mimi ni mtumishi wa umma, nilikuwa natumia sh. 8000/= kwenda kazini na kurudi kila siku, sasa hivi natumia 2000 tu! Lami kutoka mlangoni kwangu hadi kazini 6000 X 20 = 120,000 kwangu ni nyongeza tosha ya mshahara! (hapo nimejikita kwenye eneo moja dogo la nauli ya kwenda na kurudi kutoka kazini) Kura yangu kwa JPM! Najuta kipigia UKAWA!
 
Sasa Tutamchagua Nani Kama Siyo
John Pombe Joseph Magufuli?😀😁😅😄😄
 
mimi ni mtumishi wa umma, nilikuwa natumia sh. 8000/= kwenda kazini na kurudi kila siku, sasa hivi natumia 2000 tu! Lami kutoka mlangoni kwangu hadi kazini 6000 X 20 = 120,000 kwangu ni nyongeza tosha ya mshahara! (hapo nimejikita kwenye eneo moja dogo la nauli ya kwenda na kurudi kutoka kazini) Kura yangu kwa JPM! Najuta kipigia UKAWA!
Uongo wa wazi kabisa huu,mimi ni mwana CCM mkweli, kwa habari ya barabara mzee JK alifanya kazi kubwa sana...

Japo JPM anajua kuji-proud...
 
Waziri wa JK aliyesimamia hiyo kazi ni nani?
 
Inawahusu wasiomchagua JPM tu. Mimi Kama mtumishi wa umma hajaongeza mshahara wangu kwa miaka yote 5, ananikata 15% badala ya 8% kama mkataba wangu na Loan Board unavyosema. Kwa sababu hizo kura yangu hapati. Wewe serikali yake katika sekta yako kwa nini hapati kura yako?
Umesahau 20% ya PAYE badala ya 11 wanayohubiri kwenye majukwa ya kisiasa
 
mimi ni mtumishi wa umma, nilikuwa natumia sh. 8000/= kwenda kazini na kurudi kila siku, sasa hivi natumia 2000 tu! Lami kutoka mlangoni kwangu hadi kazini 6000 X 20 = 120,000 kwangu ni nyongeza tosha ya mshahara! (hapo nimejikita kwenye eneo moja dogo la nauli ya kwenda na kurudi kutoka kazini) Kura yangu kwa JPM! Najuta kipigia UKAWA!
Watumishi wanaoenda kazini kwa gari za serikali pamoja na kunyanganywa nafasi zao bado wamekubali kuachia kutafuta masilahi zaidi ya ubunge. Wewe bado unagombania kupanda daladala unatetea ujinga.
 
Back
Top Bottom