residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Ukiwaita majina stahiki yao,wanasema unawatusi. Sasa ID yenyewe ni jingalao ,kweli kuna chochote cha tofauti na ujinga cha kutegemea toka kwa kiumbe huyu?Kwa hiyo na Barabara zinazojengwa kwa Sasa apongezwe waziri wa ujenzi. Hahahahhaha. Watu mmekuwa wajinga awamu hii