Ni bora zaidi kutompigia hata kama atalazimisha ushindi lakini atajua kuwa kumbe umemkataa...Ndugu, ukipiga usipooiga hiko chama kina shinda kwa kushindi. Hatuna jinsi
Uongo wa wazi kabisa huu,mimi ni mwana CCM mkweli, kwa habari ya barabara mzee JK alifanya kazi kubwa sana...mimi ni mtumishi wa umma, nilikuwa natumia sh. 8000/= kwenda kazini na kurudi kila siku, sasa hivi natumia 2000 tu! Lami kutoka mlangoni kwangu hadi kazini 6000 X 20 = 120,000 kwangu ni nyongeza tosha ya mshahara! (hapo nimejikita kwenye eneo moja dogo la nauli ya kwenda na kurudi kutoka kazini) Kura yangu kwa JPM! Najuta kipigia UKAWA!
Mpuuzi sana huyu meko.Watumishi wa umma mnakufa kwa njaa huku Meko akiwaneemesha wanasiasa wenzie.
Huyu mtu ni mbinafsi sijapata kuona.
Waziri wa JK aliyesimamia hiyo kazi ni nani?Uongo wa wazi kabisa huu,mimi ni mwana CCM mkweli, kwa habari ya barabara mzee JK alifanya kazi kubwa sana...
Japo JPM anajua kuji-proud...
Umesahau 20% ya PAYE badala ya 11 wanayohubiri kwenye majukwa ya kisiasaInawahusu wasiomchagua JPM tu. Mimi Kama mtumishi wa umma hajaongeza mshahara wangu kwa miaka yote 5, ananikata 15% badala ya 8% kama mkataba wangu na Loan Board unavyosema. Kwa sababu hizo kura yangu hapati. Wewe serikali yake katika sekta yako kwa nini hapati kura yako?
Kwa hiyo na Barabara zinazojengwa kwa Sasa apongezwe waziri wa ujenzi. Hahahahhaha. Watu mmekuwa wajinga awamu hiiWaziri wa JK aliyesimamia hiyo kazi ni nani?
Watumishi wanaoenda kazini kwa gari za serikali pamoja na kunyanganywa nafasi zao bado wamekubali kuachia kutafuta masilahi zaidi ya ubunge. Wewe bado unagombania kupanda daladala unatetea ujinga.mimi ni mtumishi wa umma, nilikuwa natumia sh. 8000/= kwenda kazini na kurudi kila siku, sasa hivi natumia 2000 tu! Lami kutoka mlangoni kwangu hadi kazini 6000 X 20 = 120,000 kwangu ni nyongeza tosha ya mshahara! (hapo nimejikita kwenye eneo moja dogo la nauli ya kwenda na kurudi kutoka kazini) Kura yangu kwa JPM! Najuta kipigia UKAWA!