Jiwe anajua kabisa kuwa ninyi watumishi wa umma mpo wachacahe na syo wapga kura wake ndo maana kaamua kuwakazia na anajua siku ya uchaguzi mnakuwa bize kwenye shughuli zenu nyingine hvyo kura zake zipo kwa wakulima vijijini huko japokuwa huko napo wanakaziwa mdogo mdogo.
All in all jamaa anashinda kwa namna yoyote Ile.