Kama Mungu angewapa waislamu mamlaka ya kuitawala dunia hivi ingekuwaje?

Kama Mungu angewapa waislamu mamlaka ya kuitawala dunia hivi ingekuwaje?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Hawa jamaa huwa wanaijihisi kuwa wao ndio wanajua kumuabudu Mungu kuliko wengine, Mungu muumba wa dunia aliona mbali sana, kuwanyima mamlaka hawa jamaa.

Licha ya wengi wo kuisoma dini vilivyo, ila hekima miongoni mwao ni sifuri kabisa.

Wakiwa kwenye hii funga yao basi watatangaza dunia nzima, sisi tumefunga, hivyo wengine hawana haki ya kula mbele yetu. Inafikirisha

Kumbe mmefunga nje tu, na siyo ndani (Nafsi)pale muonapo mtu anakula mate yanawajaa.
 
Humanity is positively linked with helping behavior,
It help to be humble "
 
Ni kweli mumeshinda vita vya utawala. Na kwa hapa nchini, licha cha kuwa na serikali isiyo na dini. Lkn serikali ni ya dini yenu. Kwa kuwa zaidi ya 90% wa tuminishi ni wa dini moja.

Na haya uliyoyaongea tujue ndio tasirwa ya mnavyotuona mkiwa ktk taasisi za umma.

Kosa letu ni nini hasa. Hadi nionyeshe chuki hizi.

Hali kama hii inaonyesha ni tuna ombwe la uongozi na kama sehemu ya jamii waislam ndio wenye uwezo wa kuziba ombwe hilo.

Kwani ndio jamii iliyobaki yenye binadamu wenye uaminifu na wema. Tunajisikia fahari kuwa na sifa hizo. Laiti tusingekuwa na tabia hizo bila ya shaka sote tungekuwa na mateso zaidi ya haya tutayoyapitia kwasababu tu sisi ni waislam.

Nasi hakuna tunaemuamini. Si ccm si chadema.

Ccm tunaona ni wa afadhali kwa kuwa tunaona nguvu ya uovu wao.

Soon tutasajili chama kipya, Chenye itikadi, falsafa na hejemonia MBADALA

Tunahitaji serikali ya dini zote

Utawala wa majimbo yenye uhuru kamili wa kujiamulia mambo yake wenyewe

Hejemonia yetu ni udaivasi (we are culture Diversity)
 
IMG-20240328-WA0379.jpg
 
Ni kweli mumeshinda vita vya utawala. Na kwa hapa nchini, licha cha kuwa na serikali isiyo na dini. Lkn serikali ni ya dini yenu. Kwa kuwa zaidi ya 90% wa tuminishi ni wa dini moja...
Utawala mbona nafasi mnapewa. Mfano Urais ni zamu zamu na hata awamu hii anatawala muislam.

Waislam waliosoma wanapewa ajira tena za maana tu mfano hai ni hao kina professa janabi.

Huwezi kupewa ajira kwa elimu ya dini tu.

Hospitali hazitibu watu kwa kusoma dua za quran

Madaraja hayajengwi kwa kufata engineering za kwenye quran.

Waislamu ambao hawajasoma ndio walalamishi wa mambo ya ajira.

Shule bora nchini za Feza wamiliki wake ni waislamu wa uturuki. Ila cha kushangaza ukienda shule za Feza leo hii ukihesabu wanafunzi. Waislamu ni wachache kuliko wakristo.

Sasa kama hata shule za waislamu wenzenu zilizo bora hampeleki watoto wenu. Wanajaa wakristo kwenye shule zenu bora. Msaidiwaje ?

Elimu dunia mnaikwepa mnasema ni ukafiri. Ajira za maana Utapewa vipi
 
Licha ya wengi wo kuisoma dini vilivyo, ila hekima miongoni mwao ni sifuri kabisa.

Wakiwa kwenye hii funga yao basi watatangaza dunia nzima, sisi tumefunga, hivyo wengine hawana haki ya kula mbele yetu. Inafikirisha

Kumbe mmefunga nje tu, na siyo ndani (Nafsi)pale muonapo mtu anakula mate yanawajaa.
Sasa huko kuisoma dini ndiko kunakoondoa kabisa hata ile hekima kidogo ya kawaida aliyopewa mwanadamu.

Kingine pia baada ya kuisoma hiyo dini,(ashakum siyo matusi) nahisi kuna mauzauza fulani humpata muumini hata kushusha uwezo wake wa kawaida wa kiutendaji kivitendo.hata kwa akili za kitoto tu,kufunga nifunge mimi kula ale mwengine na wala hata hajanikonyeza kwa bahati mbaya kwamba bwana njoo tule lakini jinsi ninavyomchukia aisee!

Kuna kitu hakiko sawa.
 
Chuki Mbaya sana kwakweli,,, kila siku uislamu uislamu hivi hamna mambo mengine ya kujadili,,, mnapenda sana attention na nyuzi zenu zitrend acheni ujinga
Jamaa wanaumia sana aisee na hii yote ni hii Ramadhani kuheshimiwa na sehemu kubwa ya dunia,yani roho zinapwita wanakosa stamala,mibaba mizima mipasho kama akina Mama
 
Hawa jamaa huwa wanaijihisi kuwa wao ndio wanajua kumuabudu Mungu kuliko wengine, Mungu muumba wa dunia aliona mbali sana, kuwanyima mamlaka hawa jamaa...
Watatawala na Antichrist.
 
Back
Top Bottom