Kama Mungu angewapa waislamu mamlaka ya kuitawala dunia hivi ingekuwaje?

Kama Mungu angewapa waislamu mamlaka ya kuitawala dunia hivi ingekuwaje?

Dini ya haki ya haki lazima ipigwe mawe,ila unashabikia ulimwengu wa riba unakandamiza watu na kufanya watu wachache wawe matajiri.

Kwa sababu ya ujinga wako ,kama uislamu ungetawala pasingekuwa na umaskini wala riba zinazomaliza watumishi wa chini.
 
Utawala mbona nafasi mnapewa. Mfano Urais ni zamu zamu na hata awamu hii anatawala muislam.

Waislam waliosoma wanapewa ajira tena za maana tu mfano hai ni hao kina professa janabi.

Huwezi kupewa ajira kwa elimu ya dini tu.

Hospitali hazitibu watu kwa kusoma dua za quran

Madaraja hayajengwi kwa kufata engineering za kwenye quran.

Waislamu ambao hawajasoma ndio walalamishi wa mambo ya ajira.

Shule bora nchini za Feza wamiliki wake ni waislamu wa uturuki. Ila cha kushangaza ukienda shule za Feza leo hii ukihesabu wanafunzi. Waislamu ni wachache kuliko wakristo.

Sasa kama hata shule za waislamu wenzenu zilizo bora hampeleki watoto wenu. Wanajaa wakristo kwenye shule zenu bora. Msaidiwaje ?

Elimu dunia mnaikwepa mnasema ni ukafiri. Ajira za maana Utapewa vipi
Ukimsikia mtu anakuambia elimu ahera ndio muhim kwake zaid muacha alivyo usimlaumu.
 
Jamaa wanaumia sana aisee na hii yote ni hii Ramadhani kuheshimiwa na sehemu kubwa ya dunia,yani roho zinapwita wanakosa stamala,mibaba mizima mipasho kama akina Mama
Kwaresma kwanza hawafungi pia wanashangaa iftar kubwa zinazoandaliwa😅😅😅.

Mtu anayekula nguruwe hawezi kufunga hata kidogo ...Yaani hakuna hata sehemu unaona wanakula pamoja
 
Back
Top Bottom