Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kama umefunga kweli kwa imani huwa najiuliza iweje kula ya mwingine kwako iwe tatizo kama si upuuzi.Hawa jamaa huwa wanaijihisi kuwa wao ndio wanajua kumuabudu Mungu kuliko wengine, Mungu muumba wa dunia aliona mbali sana, kuwanyima mamlaka hawa jamaa....
Chuki Mbaya sana kwakweli,,, kila siku uislamu uislamu hivi hamna mambo mengine ya kujadili,,, mnapenda sana attention na nyuzi zenu zitrend acheni ujingaHawa jamaa huwa wanaijihisi kuwa wao ndio wanajua kumuabudu Mungu kuliko wengine, Mungu muumba wa dunia aliona mbali sana, kuwanyima mamlaka hawa jamaa...
DaahBusara ingekuwa kwa kiasi kidogo sana, kwasababu ya ubinafsi
Utawala mbona nafasi mnapewa. Mfano Urais ni zamu zamu na hata awamu hii anatawala muislam.Ni kweli mumeshinda vita vya utawala. Na kwa hapa nchini, licha cha kuwa na serikali isiyo na dini. Lkn serikali ni ya dini yenu. Kwa kuwa zaidi ya 90% wa tuminishi ni wa dini moja...
Sasa huko kuisoma dini ndiko kunakoondoa kabisa hata ile hekima kidogo ya kawaida aliyopewa mwanadamu.Licha ya wengi wo kuisoma dini vilivyo, ila hekima miongoni mwao ni sifuri kabisa.
Wakiwa kwenye hii funga yao basi watatangaza dunia nzima, sisi tumefunga, hivyo wengine hawana haki ya kula mbele yetu. Inafikirisha
Kumbe mmefunga nje tu, na siyo ndani (Nafsi)pale muonapo mtu anakula mate yanawajaa.
Wengi saa hizi tungekuwa vichwa hatuna.Zanzibar na pemba tu wapo wengi. Unaona moto wao.
Duniani Wangekuwa na nguvu kama marekani na china tungesilimishwa kinguvu dunia nzima.
Sasa kama mnatwanga watu viboko kwa kula hadharani, mnawakamata , wakati huo huo ninyi kwenye nchi za Kikristu madai haki, hambaguliwi ?Chuki Mbaya sana kwakweli,,, kila siku uislamu uislamu hivi hamna mambo mengine ya kujadili,,, mnapenda sana attention na nyuzi zenu zitrend acheni ujinga
Jamaa wanaumia sana aisee na hii yote ni hii Ramadhani kuheshimiwa na sehemu kubwa ya dunia,yani roho zinapwita wanakosa stamala,mibaba mizima mipasho kama akina MamaChuki Mbaya sana kwakweli,,, kila siku uislamu uislamu hivi hamna mambo mengine ya kujadili,,, mnapenda sana attention na nyuzi zenu zitrend acheni ujinga
Watatawala na Antichrist.Hawa jamaa huwa wanaijihisi kuwa wao ndio wanajua kumuabudu Mungu kuliko wengine, Mungu muumba wa dunia aliona mbali sana, kuwanyima mamlaka hawa jamaa...
Kama ushawahi kumuona muislam hasa wa zanzibar anaye jua kujenga hoja kitaalam kabisa nidai milion nakupa bure kabisaHawa jamaa huwa wanaijihisi kuwa wao ndio wanajua kumuabudu Mungu kuliko wengine, Mungu muumba wa dunia aliona mbali sana, kuwanyima mamlaka hawa jamaa...