Kama Mungu angewapa waislamu mamlaka ya kuitawala dunia hivi ingekuwaje?

Ingekuwa noma mbaya sana
 
Jamaa wanaumia sana aisee na hii yote ni hii Ramadhani kuheshimiwa na sehemu kubwa ya dunia,yani roho zinapwita wanakosa stamala,mibaba mizima mipasho kama akina Mama
Kweli kabisa chief na huo ndio ukweli, dini hii ya haki lazima ipigwe mawe lkn itazidi kusimama inshallah
 
Sasa kama mnatwanga watu viboko kwa kula hadharani, mnawakamata , wakati huo huo ninyi kwenye nchi za Kikristu madai haki, hambaguliwi ?
Je umefuata sheria au hujafuata,, kama hujafuta hujatii mamlaka husika lazima uadhibiwe,,, shida iko wapi hapo?
 
Mauaji yasingekoma
 
Jamaa wanaumia sana aisee na hii yote ni hii Ramadhani kuheshimiwa na sehemu kubwa ya dunia,yani roho zinapwita wanakosa stamala,mibaba mizima mipasho kama akina Mama
Kuwapiga watu viboko na kuwapeleka seli unaita heshima?kama unadhani inaheshimika toka hapo Kisiwani ondoka Dar sogea hapo Kaskazini uone wanavyoiheshimu Kwaresma hiyo Ramadhan hakuna anayeijua.

Nilikuwa huko majuzi feb radio station za kule zinatoa airtime kusikiliza mawaidha ya dini kama zinavyofanya radio na tvs station za Dar na znz,dini haiheshimiki kwa kuchapana viboko na kushinidishana njaa watu wazima dini inaheshimika kwa matendo na stara zake.
 
Tuweke taarifa sawa.

Suala la elimu kwasasa ni historia tu imebaki.

kijijini kwangu pekee kuna wenye masters zaidi ya 50 na hawana Akira. Unaweza jiuliza kwanini wakati rais ni muislam.

Prof Assad aliondolewa kwasababu yeye alisimamia ktk ukweli na uadilifu. Hii ndio sifa ya muislam.

Na ktk uchunguzi wake aliwahi kunukuliwa.

60% ya watumishi wa umma hawastahili kuwepo ktk ofisi za umma.

Iwapo zaidi ya 90% ya watumishi ni wakristo. Hii 60% ni nani kama si wakristo.

Unadhani kina nani wanaweza kureplace nafasi zao ustawi ukapatikana.

Ombwe hili linapaswa kuzibwa na waislam. Endeleeni kuwaamsha.
 
Hawa ndio watawala. Walio ndani ya serikali. Lkn 60% hawana uwezo.

This 60% wanaostahili ni waislam.
 

Attachments

  • Screenshot_20240329-001247_Gallery.jpg
    300.5 KB · Views: 1
Waislam wamepangisha free bila kulipia rent kwenye vichwa vya wakristo kila siku lazima zianzishwe mada kuhusu wao
 
Je umefuata sheria au hujafuata,, kama hujafuta hujatii mamlaka husika lazima uadhibiwe,,, shida iko wapi hapo?
Inaongea nini wewe? Sio Kila utopolo unaoitwa sheria basi ni sheria kwa sababu Kuna mwehu aliyetunga na amepitwa na wakati basi itakuwa binding hata kwa wasiohusika nayo. Ninyi mna hitilafu gani kwenye UBONGO wenu?

LEX INIUSTA NON EST LEX
 
Wana utoto mwingi, huenda hata Mungu anawashangaa
Waislam wana utoto kuliko wakristo wanaoambiwa nyanyua simu juu tuombe hela ziingie m-pesa na wao wananyanyua kweli kuombewa?
 
Ndio maana wanazuia watu kusoma elimu ya kawaida ili waendelee kukariri hiki kitabu Cha backwards reaction. Maana wanajua mtu akisoma vyema na akawa na uwezo wa kujitawala akili yake kwa kufanya reasoning hawezi kubaki kwenye dini ya namna hii
 
So bwa Mohamed Abubakar Shekau unataka kusema kama hiyo 60% wakapewa waislam leo Watanzania tutaiona nchi ya maziwa na asali?
View attachment 2947625
Huwa nasikitika sana na uwezo wenu wa kupambanua mambo.
Nimetoa fact. And in fact masikini huwa wanawachukia matajiri bila sababu.

Kwanini ninyi mna roho za chuki ingawa tukiyaamini tokea uhuru.

Matokeo yake nchi ikawa ktk top ten ya nchi masikini duniani.

Kwanini.

Kuna ombwe.

60% yenu ni vilaza, si waadilifu, si wema
 
He just find sympathy
 
Aisee umempa BAO la uso....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…