Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

kama haikutokea mwanaume kujifungua,vile vile haikutoke mungu kuumbwa!kuhusu imani hata hao wano amini kuwa hakuna Mungu,kule kuamini kwao hivyo nayo pia ni imani!hakuna aliyo ona tukio la Big Bang!lakini wanaamini lilitokea,wakati wao imani yao imeazia hapo katika tukio la Big Bang!imania yangu mimi inaanza kabla ya tukio hilo.

ﺃَﻭَﻟَﻢْ ﻳَﺮَ ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﻛَﻔَﺮُﻭﺍ ﺃَﻥَّ ﺍﻟﺴَّﻤَﺎﻭَﺍﺕِ ﻭَﺍﻷَﺭْﺽَ
ﻛَﺎﻧَﺘَﺎ ﺭَﺗْﻘﺎً ﻓَﻔَﺘَﻘْﻨَﺎﻫُﻤَﺎ ﻭَﺟَﻌَﻠْﻨَﺎ ﻣِﻦَ ﺍﻟْﻤَﺎﺀ ﻛُﻞَّ
ﺷَﻲْﺀٍ ﺣَﻲٍّ ﺃَﻓَﻼ ﻳُﺆْﻣِﻨُﻮﻥَ )ﺍﻷﻧﺒﻴﺎﺀ 30 :21 ، (.
Have not those who disbelieve
seen (known) that the heavens and
the Earth were of one connected
entity, then We separated them
(from each other), and We made
every living thing out of water?
Will they not then believe? (Al-
Anbiya', 21: 30).
The first part of Verse 30: 21 tells us
that the beginning of creation was
by a great explosion that resulted
in the separation of parts from the
original single entity, or what
cosmologists describe as the big
bang.
The second part of the Verse is
about the relationship between life
and water. It basically points to the
fact that life depends on the
availability of water, which has
become a scientific given.
For decades, space programs have
had a major goal of investigating
whether there is water on other
planets or not, in order to begin the
exploration of whether there is life
on those planets or not. Several
verses of the Holy Quran have
stated clearly that every living
being has been created from water.
Water covers about seventy
percent of the surface of the Earth,
which has provided it with the
essential requirement of life.

Asante mkuu! Ngoja niiweke hiyo aya kwenye kiswahili:
Quran 21:30, "Hivi hawaoni wale waliokufuru,kwamba mbingu na ardhi vilikua vimeshikamana (vimegandamana) kisha tukaviambua (tukavilipua,tukaviachanisha),na tukajaalia kwa maji kila kitu kuwa hai,je hawaamini?"
 
when you say "Bang",you create sense of sound.
but there was no air molecules during this epoch,so where that sound or explosion came from?...that is your first mistake mjarrab!

secondly,there was no water after big bang,because hydrogen and oxygen elements were not yet created

your quran is simply wrong on that.
 
By mjarrab:

30 :21
Have not those who disbelieve
seen (known) that the heavens and
the Earth were of one connected
entity, then We separated them
(from each other), and We made
every living thing out of water?
Will they not then believe? Verse 30: 21 tells us
that the beginning of creation was
by a great explosion that resulted
in the separation of parts from the
original single entity,

the silly claim like this one often attributed to cosmologist so as to fool the fools like you

in verse 30:21
here the earth which is thought to be connected entinty,is assumed to be oldest thing in the universe,but as we know,the space&time itself came first before creation of the earth and entire solar system

in other word,description of verse above is quite wrong

the Big bang was not great explosion that resulted in separation of parts from their single entinty as quran claim

but contrary to quran,big bang was giant metric expansion of space-time
 
the silly claim like this one often attributed to cosmologist so as to fool the fools like you

in verse 30:21
here the earth which is thought to be connected entinty,is assumed to be oldest thing in the universe,but as we know,the space&time itself came first before creation of the earth and entire solar system

in other word,description of verse above is quite wrong

the Big bang was not great explosion that resulted in separation of parts from their single entinty as quran claim

but contrary to quran,big bang was giant metric expansion of space-time

The Universe was formed from hot
gaseous in the Noble Quran:
Let us look what Allah Almighty
said about the Universe in the
Noble Quran:
"Moreover He comprehended in His
design the sky, and it had been (as)
smoke: He said to it and to the
earth: 'Come ye together, willingly
or unwillingly.' They said: 'We do
come (together), in willing
obedience.' So He completed them
as seven firmaments in two Days,
and He assigned to each heaven its
duty and command. And We
adorned the lower heaven with
lights, and (provided it) with guard.
Such is the Decree of (Him) the
Exalted in Might, Full of Knowledge.
(The Noble Quran, 41:11-12)"
"Do not the Unbelievers see that
the heavens and the earth were
joined together (as one unit of
creation), before we clove them
asunder? We made from water
every living thing. Will they not
then believe? (The Noble Quran,
21:30)"
The Arabic word for "sky" in Noble
Verse 41:11 above is "samaa",
which is the same word used for
"heaven" and "Universe". Since the
7 heavens didn't exist yet (because
the seven firmaments or heavens
were mentioned in the next Noble
Verse 41:12), then this CLEARLY
MAKES the "samaa" be referring to
the Universe, since the heaven was
the entire Universe when GOD
Almighty "comprehended in His
design the sky". He then later
divided it into seven firmaments or
heavens.
Anyway, as we clearly see above in
the Noble Verses, Allah Almighty
initially created the Universe or the
"samaa" with smoke (Dukhan).
Dukhan in Arabic refers to the
smoke coming from fire, which is
always HOT GAS.
A new star forming out of a cloud
of gas and dust (nebula), which is
one of the remnants of the
"smoke" that was the origin of the
whole universe. (The Space Atlas,
Heather and Henbest, page 50)
Allah Almighty said: "Then He
turned to the heaven when it was
smoke...(The Noble Quran, 41:11)"
The Noble Quran on the Origin of
the Universe
Only Islam claims that the universe
was originated from Dust and Hot
Gas, or Smoke.
Now as to Noble Verse 21:30
above, according to the Big Bang
Theory, the Universe experienced
an unbelievable explosion from the
hot gases that were forming it,
which caused the Universe (which
consisted of the ball of gases) to
split and expand. The Earth was
separated then from the gaseous
mass that was forming the
Universe. The gases according to
the scientific articles below in this
article made "the universe be
consisted of compact ball of
hydrogen -- protons, neutrons,
electrons, and their anti-particles --
plus radiation. There were not
differentiated planets, stars, suns,
galaxies. Five billion years ago, the
compact hydrogen soup blasted
apart with huge force, matter was
hurled in all directions, and the
universe doubled in size. This
expansion of the universe is still
going on.
 
Tukubali tu Mungu yupo hata Kama mwanadam kajiunda mwenyewe basi wangekuwa wa aina moja tu either mwanamme au mwanamke,kitendo cha kuwepo m/me na m/ke kinatosha ku confirm kwamba binaadam wameumbwa na Mungu.

Je unaweza kuamini kwamba Dunia inaelea juu ya space?
 
Tukubali tu Mungu yupo hata Kama mwanadam kajiunda mwenyewe basi wangekuwa wa aina moja tu either mwanamme au mwanamke,kitendo cha kuwepo m/me na m/ke kinatosha ku confirm kwamba binaadam wameumbwa na Mungu.

Je unaweza kuamini kwamba Dunia inaelea juu ya space?

wrong question!

Dunia ipo ndani ya space na siyo juu ya space
kumbuka tunaongelea kuhusu 4-dimensions-universe na siyo 2D...!
 
Naomba kuuliza swali kwa wenye kuamini hakuna mungu.

Hivi kwanini hadi sasa iwe watu bado wanaendelea kuamini kuwepo kwa mungu?
 
when you say "Bang",you create sense of sound.
but there was no air molecules during this epoch,so where that sound or explosion came from?...that is your first mistake mjarrab!

secondly,there was no water after big bang,because hydrogen and oxygen elements were not yet created

your quran is simply wrong on that.

Bing bang theory ilieleza kuwa hydrogen and hellium were first element exist before bigbang kutokea...mkandamizo na jotokali sana vilifanya dust smoke helium na hydrogen kulipuka..ukisema no air moleculebduring this epoch naona unakosea MR.!!
 
swali ninakuja huyo aliye muumba binadamu kabla hajamuumba binadamu
alifikiria atapata faida gani? na mpaka saizi amepata faida gani?
au amepata hasara gani?
na kabla hajafikiria kumuumba binadamu nani alimpa hilo wazo.

hakuna ambaye anaweza akajibu maswali hayo kiufasaha zaidi i
la ukweli utabaki palepale
kwamba mungu hayupo
kama ni swala la binadamu alitokea mwennyewe kutoka na mazingira
kama vile ambavyo vitu vikioza funza wanatokea wenyewe.
 
umeuliza swali a binadamu wa kwanza. kwani huyo binadamu aliumbwa wapi? mbona kuna wakorea,wachina,waafrika,wazungu? mbona wa ivory cost wana miili mikubwa kuliko watz? kama walitokana na binadamu wa kwanza kwa nini watofautiane.

mbona wewe umetofautiana na ndugu zako wakat wazaz ni walewale
 
Dr Aluta
Umeongea vyema saana mkuu..

Mie pia nawaza inakuaje kuwepo hawa wasio amini uwepo wa Mungu.

Kwa mifano uliyotoa, mfano mwingine kwa kuongezea ukienda pori zito ukakuta makazi lazima uta assume binadamu anaishi hapa

Conclusion Mungu yupo, Galileo, Einstein, Newtown wote hao waliamini uwepo wa Mungu na be aware Galilee Galileo ndiye father of most technologies... alifanya theories nyingi ambazo baadaye wengine kama Newtown na Einstein wakaendeleza kwa ku specialize but he wa General scientists and such..

Ana praise there is God, wale bila wao leo dunia isingekuwa hivyo na walikuwa wana upeo balaaa na walikuwa wakipata maono has Galilee Galilee. .. please google.

Asa leo wanaosema Mungu hayupo ila uchawi wana uabudu wasikusumbue boss..
Read between lines waache waongeee

Amen!
 
Last edited by a moderator:
Kwa muda mrefu nimekua nikisikia watu wengi wakikanusha uwepo wa Mungu na wakatoa evidence nyingi tu katika ukanushaji huo especially Jamii inteligence.

Sasa kwenye hili bandiko mi nataka kufaham kama Mungu hayupo huyu binadamu aliyemuumba ni nani? au kajileta mwenyewe hapa duniani.

Unajua hata ukiliona gari barabani yupo aliyeunda gari hilo.

Wanasayansi wanaopinga uwepo wa mungu wamejitahidi kueleza sana asili ya dunia na vitu vingine vingi.

Naomba izingatiwe kwamba nataka kufahamu asili ya mwanadamu sio Mungu. Ni kweli mungu anaweza akawa hayupo je binadamu wa kwanza alimuumba nani?

Uje na lengo la kuelimishana.

Nawasilisha.

Asante kwa swali ila kuufikia ukweli inakupasa uepuke kuanzia na mashaka kuwa huenda Mungu hayupo. Anza kwa kile unachoamini. Kwa mfano ninakuona tayari umekwisha ona shida kuwa Mungu hayupo kwa sababu moja tu kuwepo kwa mwanadamu. Hapa swali lako kuu ni:"Katoka wapi huyu mwanadamu?"Anzia hapo kujenga hoja zako.
 
when you say "Bang",you create sense of sound.
but there was no air molecules during this epoch,so where that sound or explosion came from?...that is your first mistake mjarrab!

secondly,there was no water after big bang,because hydrogen and oxygen elements were not yet created

your quran is simply wrong on that.

Thank you. Napenda watu wakipewa facts kama hizi.
 
'There is no reason to suppose that the world had a beginning at all. The idea that things must have a beginning is really due to the poverty of our thoughts.'(Bertrand Russell)

He was right.

Kutokana na upeo mdogo wa kufahamu uhalisia wa chanzo huwa tunapenda kusema ni Mungu ndio amesababisha kitu fulani su jambo fulani.

Mtu akifariki tunasema Mungu amempenda akamchukua...hii inatufariji na kuondoa kuwaza zaidi juu ya chanzo cha kifo.

Kwenye suala la chanzo cha maafa kama matetemeko au ukame tunasali na kuomba mungu alete mvua.

Pia tukiwa hatujui chanzo cha ulimwengu na mwanadamu, hatukubali kuwa hatufahamu nini chanzo na tuache sayansi itafute chanzo bali tunalazimisha kuwa ni Mungu na tunakaa na kuridhika na majibu bila kufanya au kuamini tafiti mpya.

Kutokana na upeo mdogo wa kuelewa vyanzo vya mambo mbalimbali na vitu mbalimbali tunakimbilia kusema 'ni Mungu' kwa sababu ndio upeo wetu unapoishia.

Sometime tukubali ukweli kuwa HATUJUI. Hatujui ni Mungu au sio Mungu. Tuzidi kusoma na kuuelewa ulimwengu na ipo siku tutajua. Mbona zamani tulijua dunia ni flat? Na kanisa lilimfungia Galileo na kumtaka akane kauli yake kwa kupingana na maneno ya dini? Mbona zamani watu waliamini mwanadamu ametoka kwa watu wawili walioumbwa bustanini miska 4004 iliyopita na mabaki ya mifupa ya kale yametupa picha ya mabadiliko ya viumbe na mwanadamu?

If we don't know something lets agree we don't know the truth. Neither God is the source of what is the source...

Hata Mungu hawezi kukuadhibu kwa kuwa curious. Tuna haki ya kuchunguza na kujua zaidi.

Leo hii akija mwanao akakuambia "baba ulinidanganya. Kumbe watoto HAWANUNULIWI. Wanapatikana kupitia reproduction ya mayai kutoka kwa mwanaume na mwanamke na kukaa katika tumbo la uzazi wa mwanamke kwa miezi 9". Utamchapa?

Hakuna baba anayeweza kumchapa mwanae kwa sababu mwanae anajifunza sana.
 
Hivi kitu ukikiumba kitajua kimeumbwa lini, kwa mfano gari linafahamu limetngenezwa lini?, hata sisi wanadamu hatuwezi kujua Mungu katuumba au tumetokea wapi, kwani hata kama tulikuwa tunafahamu lazima tusahau kwani nimiaka mingi sana!
Kiukweli ukiangaliatu hii Dunia lazima uamini kuwa kunakiongozi anaeiongoza na kamwe haiwezi dunia kujifanyia yenyewe vyote hivyo na tena kwa mpangilio uliosawa,
kiukweli ni jambo lakushangaza sana watu kutaka kujua ya huko nyuma ilihalitu mwanadamu huwa haweze kukumbuka matukio yake mwenyewe kipindi alikuwa mtoto , namaanisha kwamba mtu huwa hana uwezo wa kukumbuka matukio ya kuanzia amezaliwa hadi miaka minne wengine hadi miaaka sita.
My take..... Tuaminitu kwani hakuna hasara ya kuamini ila inaweza kuwepo hasara yakutokuamini kama ukijakukuta ni kweli. Mwanadamu kaumbwa huko tusipopakumbuka na ameumbwa na huyo tuliyemsahau na hatuwezi kumuona kwasababu yeye katuumba.
Nimaoni yangutu.
Kasome theories of origin of life
 
Mkuu hapa Kuna mawawili coz wanasayansi ( philosophes ) wamesema mungu hayupo af wana prove kabisa kwamba Dunia imeanzaje na mtu katoka wapi .. Af pia tena dini inatufundisha kwamba mungu yupo nayo pia ina prove

Nisaidie kidogo hapa. Wapo wanafalsafa ambao wanakataa kuwepo kwa Mungu. Wapo wanafalsafa ambao wanakubali Mungu yupo. Kitengo cha falsafa kinachoitwa falsafa ya dini ama "Philosophy of Religion", kinajadili zaidi sana swali Kuu la Mungu kuwepo ama kutokuwepo, yaani " Does God Exist?".Miongoni mwa wanaounga mkono kuwepo kwa Mungu wanatoa hoja kadhaa mojawapo ni kuwepo kwa utaratibu na mpangilio wa ajabu wa dunia ( intelligent design). Wanaopinga wanansumbuliwa na sual la kwa nini Mungu mwema aache uovu uishi sambamba na na kazi yake iliyo njema?
 
Back
Top Bottom