Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

Challenge ya hii kitu ni kwamba hata kama tutaruka na assumption ya Mungu yupo, bado tunaweza kuuliza,
"Je Mungu nae alitokea wapi?, au alifanyika vip?. Kitu ambacho ni sawa na je yeye binadam alitokea wapi endapo Mungu hayupo!.
 
Back
Top Bottom