Mungu huyu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kifupi, hayupo na hawezi kuwepo.
Hayupo na hawezi kuwepo kwa sababu ndogo tu.
Ameshindwa kupasi mtihani mdogo tu wa akili ndogo tu ya kibinadamu.
Mtihani wa logical consistency.
Ameshindwa (rather idea ya kuwepo kwake imeshindwa, yeye hayupo hivyo hajashindwa kwa sababu hayupo) mtihani wa logical consistency kwa sababu ana contradiction.
Ana contradiction kwa nini?
Kwa sababu, mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote, alitakiwa kuwa na upendo mkubwa kuliko upendo wowote wa kibinadamu, alitakiwa kuwa na uwezo mkubwa kuliko uwezo wowote wa kibinadamu na alitakiwa kuwa na ujuzi kuliko ujuzi wowote wa kibinadamu.
Tunajua kuna binadamu wana upendo kiasi hawawezi kuacha kibaya chochote ambacho kipo katika uwezo wao wa kukizuia kitokee.
Huyu mungu ambaye ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, halafu bado akaamua kuumba ulimwengu ambao mabaya na shetani wanaweza kutokea, ana ji cintradict.
Ana opwrate katika standards zilizo lower than standarda za watu.
Kazini kwetu ukiwa software engineer, halafu ukawa na uwezo wa kutengeneza software system (universe) ambayo haina failures (evil), na bado ukatengeneza software system ambayo ina failures, failures zikatokea, unakuwa fired.
Kwa nini sisi binadamu tujiwekee standards kubwa zaidi ya standards tunazomuwekea mungu?
Mungu huyu hayupo. Kwa sababu angekuwepo, ulimwengu huu wenye mabaya usingekuwepo.