Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

Kama Mungu hayupo, umaarufu wake unatoka wapi?

Kwani watoto wadogo huwa wanajua kuongea kutembea kusoma achalia mbali kumjua Mungu???

Kwani wakoloni ndio walioleta neno MUNGU Africa je mababu zetu hawakuamini Mungu kabla ya utumwa au ukoloni???
mm hapa nina mtoto wangu anamiaka 5 anajua kuongea vizuri nikimuuliza unamjua mungu anasema hamfahamu.
wala hajawahi kumuona.
 
Kwani watoto wadogo huwa wanajua kuongea kutembea kusoma achalia mbali kumjua Mungu???

Kwani wakoloni ndio walioleta neno MUNGU Africa je mababu zetu hawakuamini Mungu kabla ya utumwa au ukoloni???
Huu mjadala tu kama mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote yupo au hayupo, unaonesha hayupo.

Angekuwepo asingehitaji mjadala.

Kwa sababu angekuwepo mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kutujulisha kwa namna iliyo wazi kabisa na isiyopingika kwamba yupo. Angetujulisha kwa namna hiyo.

Ukweli kwamba tunahitaji mjadala ili kuchunguza unaonesha mungu huyu hayupo.
 
Hapo ndipo unapoibiwa kwani wewe unataka utafuniwe kila kitu hutaki kuushughurisha ubongo wako. Wenzetu wapk hivi. Wakiambiwa kitu wanakifanayia utafiti mpaka wathibitishe. Sisi tukiambiwa kitu tunakiweka kichwani na kuanza kukisambaza. Jiongeze bro wewe nawe inabidi uanzishe vitu ambavyo vitakua msaada kwa vizazi vijavyo. Kuamini Mungu ni kuua uwezo wako wa kufanya maajabu maana unatumia mawazo ya wenzako
Me nimetafuta nimesoma vitabu vingi nimeprove kwamba nimeumbw na Mungu sasa umesema tumeumbwa na material asili nipe michakato yake ili nijue nipate kuiamini hiyo ideology yako nitaijuaje na kuiamini pasipo kunielezea nikaielewa?

Umejuaje kama hatujaumbwa na Mungu kama haujasoma mahali kwamba tumeumbwa na Mungu?
 
Mungu huyu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kifupi, hayupo na hawezi kuwepo.

Hayupo na hawezi kuwepo kwa sababu ndogo tu.

Ameshindwa kupasi mtihani mdogo tu wa akili ndogo tu ya kibinadamu.

Mtihani wa logical consistency.

Ameshindwa (rather idea ya kuwepo kwake imeshindwa, yeye hayupo hivyo hajashindwa kwa sababu hayupo) mtihani wa logical consistency kwa sababu ana contradiction.

Ana contradiction kwa nini?

Kwa sababu, mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote, alitakiwa kuwa na upendo mkubwa kuliko upendo wowote wa kibinadamu, alitakiwa kuwa na uwezo mkubwa kuliko uwezo wowote wa kibinadamu na alitakiwa kuwa na ujuzi kuliko ujuzi wowote wa kibinadamu.

Tunajua kuna binadamu wana upendo kiasi hawawezi kuacha kibaya chochote ambacho kipo katika uwezo wao wa kukizuia kitokee.

Huyu mungu ambaye ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, halafu bado akaamua kuumba ulimwengu ambao mabaya na shetani wanaweza kutokea, ana ji cintradict.

Ana opwrate katika standards zilizo lower than standarda za watu.

Kazini kwetu ukiwa software engineer, halafu ukawa na uwezo wa kutengeneza software system (universe) ambayo haina failures (evil), na bado ukatengeneza software system ambayo ina failures, failures zikatokea, unakuwa fired.

Kwa nini sisi binadamu tujiwekee standards kubwa zaidi ya standards tunazomuwekea mungu?

Mungu huyu hayupo. Kwa sababu angekuwepo, ulimwengu huu wenye mabaya usingekuwepo.
Duh! Kama hawatakuelewa tena nitashangaa sana.
 
Huu mjadala tu kama mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote yupo au hayupo, unaonesha hayupo.

Angekuwepo asingehitaji mjadala.

Kwa sababu angekuwepo mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kutujulisha kwa namna iliyo wazi kabisa na isiyopingika kwamba yupo. Angetujulisha kwa namna hiyo.

Ukweli kwamba tunahitaji mjadala ili kuchunguza unaonesha mungu huyu hayupo.
Sina shaka kuhusu Mungu sababu Bible is real na kuna kila uthibitisho kwamba Bible ni kweli na yaliyoandikwa ndani yake ni kweli kisayansi kihistoria na kiimani.
 
mm hapa nina mtoto wangu anamiaka 5 anajua kuongea vizuri nikimuuliza unamjua mungu anasema hamfahamu.
wala hajawahi kumuona.
Kwani Mungu amesema unatakiwa umuone kwa macho ndio umuamini kwamba yupo mbona Bible ipo wazi kwamba hatuendi kwa sight bali kwa imani hilo hata Bible inalipinga hivyo mwanao yupo sahihi kabisa.
 
First i feel concerned na hilo tatizo kweli linatisha ila kuna rumors kwamba hiyo ni Photoshop sababu ni picture ya siku nyingi.

Lakini sithani kama tutakuwa sahihi sana kupinga uwepo wa Mungu sababu kuna watu wenye maumbile au matatizo ya kutisha Yesu bado anatenda miujiza hata sasa.

Kwahiyo uwepo wa matatizo unathibitisha vipi kwamba mungu yupo?

Pia kama yupo, matatizo kama haya yanaudhihirisha udhaifu wake.
 
Kwahiyo uwepo wa matatizo unathibitisha vipi kwamba mungu yupo?

Pia kama yupo, matatizo kama haya yanaudhihirisha udhaifu wake.
Kila kitu duniani kina changamoto zake challenges zipo kwa wadudu mimea wanyama na ecosystem nzima binadamu pia wanazo changamoto zao hilo likiwemo.

Me ningedhani unasema hizo changamoto za mwanadamu zinatatuliwa kwa ukuu wa Mungu ambapo kibinadamu inashindikana lakini kwa Mungu inawezekana.
 
Kwani Mungu amesema unatakiwa umuone kwa macho ndio umuamini kwamba yupo mbona Bible ipo wazi kwamba hatuendi kwa sight bali kwa imani hilo hata Bible inalipinga hivyo mwanao yupo sahihi kabisa.
utamuamini vipi huyo aliye kuletea biblia wakati huo aliileta hiyo biblia kwa lengo la kukutawala?
 
Kila kitu duniani kina changamoto zake challenges zipo kwa wadudu mimea wanyama na ecosystem nzima binadamu pia wanazo changamoto zao hilo likiwemo.

Me ningedhani unasema hizo changamoto za mwanadamu zinatatuliwa kwa ukuu wa Mungu ambapo kibinadamu inashindikana lakini kwa Mungu inawezekana.
ila kwa wewe hapo inaonyesha ww ndio mkuu wa mungu na inaonyesha ww ndio umemuajili na ndio maana kila kitu unamjibia wewe badala yake yeye.
 
utamuamini vipi huyo aliye kuletea biblia wakati huo aliileta hiyo biblia kwa lengo la kukutawala?
Naomba unieleweshe ni kwa namna gani natawaliwa na "aliyeniletea Bible" hapa nipo kwangu ninaenjoy maisha yangu sina ninaewajibika kwake zaidi ya Mungu na katiba ya Tanzania ni kwa vipi natawaliwa na mtu mwingine wakati ninayo total sovereignty.
 
ila kwa wewe hapo inaonyesha ww ndio mkuu wa mungu na inaonyesha ww ndio umemuajili na ndio maana kila kitu unamjibia wewe badala yake yeye.
Kwa mujibu wa......

Mathayo 5:16
16 Vivyo hivyo, ni lazima mwanga wenu uangaze mbele ya watu, ili wayaone matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.

Ni kweli matendo yangu yanatakiwa yamtangaze Mungu.
 
Naomba unieleweshe ni kwa namna gani natawaliwa na "aliyeniletea Bible" hapa nipo kwangu ninaenjoy maisha yangu sina ninaewajibika kwake zaidi ya Mungu na katiba ya Tanzania ni kwa vipi natawaliwa na mtu mwingine wakati ninayo total sovereignty.
ww umetawaliwa kiakili bila wewe mwenyewe kujijua.
na kutolea mfano wa kanisa katoliki ukitoa sadaka hapa tanzania inafika moja kwa moja hadi italia.
 
Kwa mujibu wa......

Mathayo 5:16
16 Vivyo hivyo, ni lazima mwanga wenu uangaze mbele ya watu, ili wayaone matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.

Ni kweli matendo yangu yanatakiwa yamtangaze Mungu.
hayo maandishi aliyaandika mungu au mathayo?
 
Back
Top Bottom