Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,282
- 4,316
[emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ndio hapo sasa. Mke anakuwa alikubali kuolewa na wewe kwa sababu ya mapenzi japo hali yao kwao ni ya juu kuliko ya kwako. Sasa katika maisha yenu ya ndoa na watoto hizi changamoto haziepukiki. Fikiria unaenda nyumbani kwao unakuta shemeji zako wamekuja na Premio au IST zao, na baba yake amepaki Ford Ranger yake hapo nyumbani, wewe, mkeo na watoto mnaingia kwa basi. Mbona utaanza kukataa kwenda kwao kusalimia!Kuna ukweli.
Lakini mapenzi ndo yanaanza halafu familia,uwezo badae..... Sasa tumesha pendana katika hali zetu ..mengine ni kusaidiana tu na kupambana mfikie malengo yenu....
Kikubwa chunguza tabia za mwenzako kama mtaendana...usioe au kuolewa kwa tamaa ya kitu..mf mali na muonekano.
Taabu kweli kweli! Watu tunasahau sana kwamba mapenzi ya mwanzo yanabadilika na mkishazoeana sana hizo kauli zitatoka tu.Ndo zile ukigombana kdg na mkeo anasema
"Usininyanyase mie, narudi kwetu sijaua"[emoji38]
Mkuu, kujaribu ku-impress ukweni ni natural phenomenon, sio kutafuta sifa! Lazima uonyeshe kuwa nyumbani kwako mtoto wao kwako anabembea juu kwa juu tu!Kuna watu huwa wanatafuta sifa ukweni.
Hujaoa wewe!Mi kwangu kama mke ni wangu kweli Kwa mpango wa Mungu, hili halina shida, mwanamke nikimpenda anasahau kama ana kwao au wazazi wake maana mimi naziba gape, ndiomana huwa sipendi hovyo walau siku hizi nafanya kumhitajia mwanamke tu kupenda nimepunguza
Kumbe baba mkwe anakupiga tafu kiasi hicho sasa hapo tatizo liko wapi? Sio inategemea mwanamke, sema inategemea baba mkwe!Maoni yangu ktk hili swala kupitia ushuhuda wangu bjnafsi.
Nalotaka kusema ni hivi, inategemea na mwanamke mwenyewe na hulka zake na familia yakeBinafsi hupitia kipindi nafulia mpaka msosi ndani hakuna na watoto wanasimamishwa shule lakini napambana of which am sure akipiga simu kwa mzee wake just one call muamala wa kutosha tu unaingia.
Ninachoshukuru mzee wake ananipa sana ushauri wa maisha hasa ktk utafutaji na anapenda niwe karibu nae, may be kwa sababu ya prosperity ya mwanae na wajukuu zake.
Theoretically you are rightKweli Tanzania Upagani hautaisha, sasa Mke wako atakuwaje na kwao tofauti na Mume wake?
Mungu amewaunganisha kuwa kitu na mwili mmoja, hivyo hakuna kwao au kwako kuna kwenu, kama Mwanaume jenga Mji ili uishi na Mke na Familia yako yaani watoto wako, hiyo ndiyo maana ya Ndoa Kidini.
Ukishaingia kwenye ndoa unaondoka nyumbani kwa wazazi na kuanzisha mji wenu yaani mke, mume na mkijaaliwa watoto!
kwakua cna hela labda,ila ukweni siwezi kujenga.Mkuu, kujaribu ku-impress ukweni ni natural phenomenon, sio kutafuta sifa! Lazima uonyeshe kuwa nyumbani kwako mtoto wao kwako anabembea juu kwa juu tu!
By the way, halafu tukiwa ukweni tunamwonyesha mke mapenzi zaidi, touch touch na kiss za hewani nyiiiingi, mara umemchumia ua nk, kumbe mkirudi nyumbani kwako shubiri! Basi tu, kuwatia nyongo kaka zake kama wanagombana na wake zao!
Na kwa nini ufikirie kujenga ukweni? Hilo halijaongelewa hapa, umelitoa wapi?kwakua cna hela labda,ila ukweni siwezi kujenga.
😂😂😂kakurupukaNa kwa nini ufikirie kujenga ukweni? Hilo halijaongelewa hapa, umelitoa wapi?
Duh! Mkuu wewe Mungu alikudondoshea zali la mentali aisee! Bila Shaka wewe Ni Mmoja Kati ya wanaume wachache wenye bahati.Maoni yangu ktk hili swala kupitia ushuhuda wangu bjnafsi.
Mimi na mke wangu tulikutana chuoni miaka 11 iliyopita, mimi natokea familia ya kipato cha chini ila yeye kwao wanamaisha mazuri hasa, yaani unaweza sema familia yao yote wapo vyema kuanzia baba, baba wa dogo nk. Ni wafanyabiashara wa kubwa wa usafirishaji, real estate na sasa wameingia ktk mashule.
Binti alikubali nimuoe kwa mahari ya sawa na bure mpaka kwetu wakashangaa akaulizwa mara tatu tatu mwisho akaishia kuipunguza zaidi. Kwa ufupi alikubali nimuoe kwa hali yangu yoyote, tulianza maisha ktk chumba kimoja, tukahamia viwili na sasa tuna nyumba zetu 2 na viwanja kadhaa na tupo mid thirties.
Nalotaka kusema ni hivi, inategemea na mwanamke mwenyewe na hulka zake na familia yake, unaweza ukanyanyaswa kupita maelezo na pia unaweza kupewa confort kuliko unavyotegemea. La msingi kuwa mwanaume, sababu ushamuoa basi hakikisha unaishi kutokana na uwezo na mipango yako uwezo wake na familia yake usiwe sehemu ya maisha yenu.
Binafsi hupitia kipindi nafulia mpaka msosi ndani hakuna na watoto wanasimamishwa shule lakini napambana of which am sure akipiga simu kwa mzee wake just one call muamala wa kutosha tu unaingia.
Ninachoshukuru mzee wake ananipa sana ushauri wa maisha hasa ktk utafutaji na anapenda niwe karibu nae, may be kwa sababu ya prosperity ya mwanae na wajukuu zake.
Umeongea kinadharia sana, mtoa mada na mchangiaji wa kwanza wamezungumza mambo ‘practical’Kweli Tanzania Upagani hautaisha, sasa Mke wako atakuwaje na kwao tofauti na Mume wake?
Mungu amewaunganisha kuwa kitu na mwili mmoja, hivyo hakuna kwao au kwako kuna kwenu, kama Mwanaume jenga Mji ili uishi na Mke na Familia yako yaani watoto wako, hiyo ndiyo maana ya Ndoa Kidini.
Ukishaingia kwenye ndoa unaondoka nyumbani kwa wazazi na kuanzisha mji wenu yaani mke, mume na mkijaaliwa watoto!
Mwingine huyu hapa, ana mchumba kwao matajiri! Oa tu mkuu, usiogope😅[emoji848][emoji848]
Wanyama wanayajua haya naturally bila ya kufundishwa na dini Wala kutishiwa kuwa Kuna dhambi ama Moto huko mbingunindivyo Dini ilivyonifundisha na siyo ya kusadikika
Umeongea kinadharia sana, mtoa mada na mchangiaji wa kwanza wamezungumza mambo ‘practical’
Sawa.Hakuna cha unadharia, ni aidha una Dini na unaamini katika Mafundisho yake au hauna na hauamini, kuna watu wengi tu wanaamini na kufwata mafundisho ya kidini hupata mwenza wa aina yao, hivyo inategemea, na ndio maana kuna msemo Mke mwema hutoka kwa Mungu, maana yake ni kwamba ukitfuta na kuomba pia utapata unachokitaka, na ukitaka pia Mwanamke asiye na malezi ya kidini wala asiyefwata mafundisho yake utampata pia.
Maishani mwangu nimeshuhudia watu wenye furaha ya Maisha ni wale wenye familia bora inayofwata mafundisho ya kidini, na wapo wengi tu.
Put God First!
Sawa, mtu anaetafuta na kuomba hekima ya Mungu ili kupata mke, ataepuka kuoa mke ambae anamwacha mbali sana katika level ya maisha maana busara ya Mungu itamwambia sio jambo la hekima kuoa katika familia ya namna hiyo iliyo katika uthamini wa fedha wakati wewe huna uwezo. Ni sawa na Solomon kuoa Wamoabi badala ya Waisrael. Mke wa namna hiyo wala sio Mungu amekuonyesha, ndio maana Jakobu alienda mbali sana ili kupata mke wa aina yake, mchunga ngamia kama yeye!Mke mwema hutoka kwa Mungu, maana yake ni kwamba ukitfuta na kuomba pia utapata unachokitaka
Maishani mwangu nimeshuhudia watu wenye furaha ya Maisha ni wale wenye familia bora inayofwata mafundisho ya kidini, na wapo wengi tu.
Put God First!
Ndugu.una roho ngumu sana....bila shaka kutakuwa na vingi hujawekawazi pia.Unalipiwa ada ya watoto waziwazi na baba mkwe..then uko comfortable kabisa.....???Hauko serious wewe....pambana...hao watoto wapelekeni shule mnayoiweza......Maoni yangu ktk hili swala kupitia ushuhuda wangu bjnafsi.