Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Wakuu...kuhusu ndoa Nathani sio kwa ajili yangu mimi nibakie single for life,imagine nina hasira to the maximum halafu mwanamke anaongea kama kasuku kunidharau mimi na kuushusha uanaume wangu..aisee leo mungu ameninusuru na polisi eti kijitu kinanisimamia halafu kimeshanitukana kinaniambia nisubutu kumpiga kama mimi mwanaume kweli...wakuu...mtama ambao ningempiga angetua chini na zile pavings Nathani angevunjika mbavu au mkono kama sio mguu...wenye ndoa zenu ishini nao kwa akili sana ...leo nimemtimua kama paka mwizi kwa kurusha virago vyake njee ...fainaly niko huru..