To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Hakikaukiona hauwezani naye bora kumuacha aende kuliko kumpiga unaweza jikuta matatani kwa mauaji bila kukusudia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakikaukiona hauwezani naye bora kumuacha aende kuliko kumpiga unaweza jikuta matatani kwa mauaji bila kukusudia.
Unataka nipoe my love...?Huyu hajawahi kupoa kabisaaaaa
Ukipoa ntakufaidi vipi kwa mfanoUnataka nipoe my love...?
Pole sana Baharia, taratibu utazoea hizi mbilinge[emoji23][emoji23]Wakuu...kuhusu ndoa Nathani sio kwa ajili yangu mimi nibakie single for life,imagine nina hasira to the maximum halafu mwanamke anaongea kama kasuku kunidharau mimi na kuushusha uanaume wangu..aisee leo mungu ameninusuru na polisi eti kijitu kinanisimamia halafu kimeshanitukana kinaniambia nisubutu kumpiga kama mimi mwanaume kweli...wakuu...mtama ambao ningempiga angetua chini na zile pavings Nathani angevunjika mbavu au mkono kama sio mguu...wenye ndoa zenu ishini nao kwa akili sana ...leo nimemtimua kama paka mwizi kwa kurusha virago vyake njee ...fainaly niko huru..
subiri aje na wasuluhishiWakuu...kuhusu ndoa Nathani sio kwa ajili yangu mimi nibakie single for life,imagine nina hasira to the maximum halafu mwanamke anaongea kama kasuku kunidharau mimi na kuushusha uanaume wangu..aisee leo mungu ameninusuru na polisi eti kijitu kinanisimamia halafu kimeshanitukana kinaniambia nisubutu kumpiga kama mimi mwanaume kweli...wakuu...mtama ambao ningempiga angetua chini na zile pavings Nathani angevunjika mbavu au mkono kama sio mguu...wenye ndoa zenu ishini nao kwa akili sana ...leo nimemtimua kama paka mwizi kwa kurusha virago vyake njee ...fainaly niko huru..
Kha! Broo, umeshindwaje hapo? Wewe uchopaswa kufanya sio kumpiga bali ungemuonesha tu kile kinachokufanya ww uitwe mwanaume. Just like that - very simple.Wakuu...kuhusu ndoa Nathani sio kwa ajili yangu mimi nibakie single for life,imagine nina hasira to the maximum halafu mwanamke anaongea kama kasuku kunidharau mimi na kuushusha uanaume wangu..aisee leo mungu ameninusuru na polisi eti kijitu kinanisimamia halafu kimeshanitukana kinaniambia nisubutu kumpiga kama mimi mwanaume kweli...wakuu...mtama ambao ningempiga angetua chini na zile pavings Nathani angevunjika mbavu au mkono kama sio mguu...wenye ndoa zenu ishini nao kwa akili sana ...leo nimemtimua kama paka mwizi kwa kurusha virago vyake njee ...fainaly niko huru..
Waswahili wanasema ukiona mmbwa wako anakubwekea ujue amepata mtu mwingine anayemlishaWakuu...kuhusu ndoa Nathani sio kwa ajili yangu mimi nibakie single for life,imagine nina hasira to the maximum halafu mwanamke anaongea kama kasuku kunidharau mimi na kuushusha uanaume wangu..aisee leo mungu ameninusuru na polisi eti kijitu kinanisimamia halafu kimeshanitukana kinaniambia nisubutu kumpiga kama mimi mwanaume kweli...wakuu...mtama ambao ningempiga angetua chini na zile pavings Nathani angevunjika mbavu au mkono kama sio mguu...wenye ndoa zenu ishini nao kwa akili sana ...leo nimemtimua kama paka mwizi kwa kurusha virago vyake njee ...fainaly niko huru..
Mimi mwenyewe siku ya Mwananchi day, nimejihimu kuwahi baada ya kuangalia kipindi kimoja ili akafurahi lakini niliyokutana nayo hakika angekuwa amekata moto sasa hivi na kamimba kake ka mwezi mmoja. Kwa hasira nilimkaba kwa mkono mmoja huku nimemkandamiza kitandani na kuchapa makofi mawili ya nguvu usoni nikamuachia na kutoka nje. Jana anaanza kuniomba msamaha na sms nyiingi mpaka kumshirikisha mkuu wangu wa kazi coz wanajuanaHaka ka project ka ndoa sio kazuri tukatae tu hizo ndoa sio bure mleta mada yamemkuta siku ya Yanga kama yalionikuta mimi