Kama Mwigulu anadhani Uwaziri Mkuu na mgongo wa Samia vitambeba kuwa Rais ajaye basi amepotea sana

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
15,415
Reaction score
29,584
Mwigulu unapoteza muda wako tu na kufanya watu wazidi kukuchukia. Jiweke upande wa wananchi. Katika mazingira tuliyo nayo nchini kwa sasa, urais hauwezi kupatikana kwa namna yako ya kuongea ili umfurahishe Rais Samia alie madarakani na CCM. Unaongea kwa namna ambayo unajitenga sana na wananchi, soma nyakati.
 
Mwigulu unapoteza muda wako tu na kufanya watu wazidi kukuchukia. Jiweke upande wa wananchi. Katika mazingira tuliyo nayo nchini kwa sasa, uraisi hauwezi kupatikana kwa namna ya kuongea ili umfurahishe raisi Samia alie madarakani na CCM. Unaongea kwa namna ambayo unajitenga sana na wananchi, soma nyakati.
Bita Urahisi anaifanya iwe nyepesi kwa bi kidude kumpa Riz1......akisema wanagombana huyu ropo ropo na bwana smart nyuma yangu wote hawafaiii.....tumekwishaas
 
Mwigulu unapoteza muda wako tu na kufanya watu wazidi kukuchukia. Jiweke upande wa wananchi. Katika mazingira tuliyo nayo nchini kwa sasa, uraisi hauwezi kupatikana kwa namna ya kuongea ili umfurahishe raisi Samia alie madarakani na CCM. Unaongea kwa namna ambayo unajitenga sana na wananchi, soma nyakati.
Usahihi. Mtu akishakuwa waziri mkuu hawezi tena kugombea urais mkuu. Urais kwa Mwigulu ndio basi tena.
 
Jamaa hata hako ka-phd kake ka mchongo hakamsaidii
 
Akiwa waziri wa Mambo ya Ndani wakati wa uraisi wa Magufuli, nilidhani Mwigulu ni mtu makini mwenye msimamo sana, msomi wa degree ya first class ya economics, masters na PhD.

Mara tu baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi, Magufuli alimwamuru Mwigulu atoe tamko kwamba serikali haihusiki na jaribio la kumuua Lissu. Mwigulu alikataa na Magufuli akamkasirikia sana.

Lakini sasa sijui kawa mtu wa namna gani. Anaongea vitu vya ajabu sana. Mtu mwenye PhD na first class degree ya uchumi unawezaje kuongea kwa kujidhalilisha hivyo ili tu kumfurahisha mtu wa form four na certificate ya siasa za jamii? Kwa nini usikae kimya ukajikita kwenye kuongelea mambo ya msingi? Wewe ni Waziri Mkuu. Ujinga wa kipropaganda waachie makatibu wenezi na wengine kama wao. Acha kupayuka kama vuvuzela mikononi mwa mtu asie na akili sawasawa. Haikusaidii kisiasa, inakumaliza.
 
Uwaziri mkuu ndio mwisho wake baada ya hapo ni benchi.

Nyerere peke yake ndio aliweza kuwa waziri mkuu kisha rais.
 
Usahihi. Mtu akishakuwa waziri mkuu hawezi tena kugombea urais mkuu. Urais kwa Mwigulu ndio basi tena.
Basi hilo ni jambo jema sana. Labda kama anatarajia by the time tunaingia uchaguzi mkuu tutabadili Katiba kuondoa hicho kipengele, kama kweli kiliingizwa kwenye Katiba. Kwa sababu, kwa nini kiliwekwa? Sokoine ilikuwa awe raisi baada ya Nyerere; kungekuwa na tatizo gani?
 
Uwaziri mkuu ndio mwisho wake baada ya hapo ni benchi.

Nyerere peke yake ndio aliweza kuwa waziri mkuu kisha rais.
Sokoine ilikuwa awe raisi kutoka Waziri Mkuu. Malechela aligombea. Lowasa alitaka awe. Ni lini kilibadilishwa? Na sijui kwa nini walibadilisha. Huenda kitaondolewa katika Katiba mpya,na Mwigulu anajua hilo.
 
Wakatoliki kwahiyo sasa mmeamua kumkataa mwenzenu kisa tuh anashirikiana na samia??

Kweli chuki zenu hazina kifani
 
Mwigulu unapoteza muda wako tu na kufanya watu wazidi kukuchukia. Jiweke upande wa wananchi. Katika mazingira tuliyo nayo nchini kwa sasa, uraisi hauwezi kupatikana kwa namna yako ya kuongea ili umfurahishe raisi Samia alie madarakani na CCM. Unaongea kwa namna ambayo unajitenga sana na wananchi, soma nyakati.
Nani kakudanganya Rais huwa anapatikana kwa kuwa upande wa Wananchi!?
 
Samia anapaswa kushirikiana na Mwigulu, sio Mwigulu kushirikiana na Samia.

Wewe ukiwa doctor wa PhD ya shule, masters na degree ya uchumi ya first class unafanya kazi na kijana wa form four mnapanga maendeleo ya nchi, nani anashirikiana na nani hapo? Nani aunge mkono matamko ya nani hapo?
 
Mwigulu unapoteza muda wako tu na kufanya watu wazidi kukuchukia. Jiweke upande wa wananchi. Katika mazingira tuliyo nayo nchini kwa sasa, uraisi hauwezi kupatikana kwa namna yako ya kuongea ili umfurahishe raisi Samia alie madarakani na CCM. Unaongea kwa namna ambayo unajitenga sana na wananchi, soma nyakati.
Wakatoliki mmeanza nae mapema mwigulu,2030 mbali
 
Wakatoliki kwahiyo sasa mmeamua kumkataa mwenzenu kisa tuh anashirikiana na samia??

Kweli chuki zenu hazina kifani
mwigulu ukatoliki wake sawa na wale waandamanaji wa kupeleka Petrol station kwa Papa wa kumi na sita, na kunukuu Wakorinto wa 13 hadi 10
 
Nani kakudanganya Rais huwa anapatikana kwa kuwa upande wa Wananchi!?
Nimesema katika mazingira tuliyo nayo sasa, tukitarajia mabadiliko ya mfumo wa kanuni za uchaguzi
 
Mwigulu atabaki kuwa Rais wa kudumu katika majabali, miamba na mawe makubwa Tanzania.
 
Mwigulu unapoteza muda wako tu na kufanya watu wazidi kukuchukia. Jiweke upande wa wananchi. Katika mazingira tuliyo nayo nchini kwa sasa, uraisi hauwezi kupatikana kwa namna yako ya kuongea ili umfurahishe raisi Samia alie madarakani na CCM. Unaongea kwa namna ambayo unajitenga sana na wananchi, soma nyakati.

Yani huyu jamaa anaamini kabisa mama yao akipelekwa the Hague yeye kama mmoja wa inner circle yake na mgawa fweza atasalimika?? Kweli common sense is not common wandugu
 
Uwaziri mkuu ndio mwisho wake baada ya hapo ni benchi.

Nyerere peke yake ndio aliweza kuwa waziri mkuu kisha rais.
Urais siyo dunia kuzunguka jua kwamba njia ni ileile kila siku
Wakatoliki mshaanza kupambana na mwigulu 2030, safari hii zamu ya walutheri
 
Back
Top Bottom