Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Bita Urahisi anaifanya iwe nyepesi kwa bi kidude kumpa Riz1......akisema wanagombana huyu ropo ropo na bwana smart nyuma yangu wote hawafaiii.....tumekwishaasMwigulu unapoteza muda wako tu na kufanya watu wazidi kukuchukia. Jiweke upande wa wananchi. Katika mazingira tuliyo nayo nchini kwa sasa, uraisi hauwezi kupatikana kwa namna ya kuongea ili umfurahishe raisi Samia alie madarakani na CCM. Unaongea kwa namna ambayo unajitenga sana na wananchi, soma nyakati.
Usahihi. Mtu akishakuwa waziri mkuu hawezi tena kugombea urais mkuu. Urais kwa Mwigulu ndio basi tena.Mwigulu unapoteza muda wako tu na kufanya watu wazidi kukuchukia. Jiweke upande wa wananchi. Katika mazingira tuliyo nayo nchini kwa sasa, uraisi hauwezi kupatikana kwa namna ya kuongea ili umfurahishe raisi Samia alie madarakani na CCM. Unaongea kwa namna ambayo unajitenga sana na wananchi, soma nyakati.
Jamaa hata hako ka-phd kake ka mchongo hakamsaidiiMwigulu unapoteza muda wako tu na kufanya watu wazidi kukuchukia. Jiweke upande wa wananchi. Katika mazingira tuliyo nayo nchini kwa sasa, uraisi hauwezi kupatikana kwa namna ya kuongea ili umfurahishe raisi Samia alie madarakani na CCM. Unaongea kwa namna ambayo unajitenga sana na wananchi, soma nyakati.
Kamemsaidia kumrubuni Bibi Kinaja kumteua uwaziri mkubwa.Jamaa hata hako ka-phd kake ka mchongo hakamsaidii
Basi hilo ni jambo jema sana. Labda kama anatarajia by the time tunaingia uchaguzi mkuu tutabadili Katiba kuondoa hicho kipengele, kama kweli kiliingizwa kwenye Katiba. Kwa sababu, kwa nini kiliwekwa? Sokoine ilikuwa awe raisi baada ya Nyerere; kungekuwa na tatizo gani?Usahihi. Mtu akishakuwa waziri mkuu hawezi tena kugombea urais mkuu. Urais kwa Mwigulu ndio basi tena.
Sokoine ilikuwa awe raisi kutoka Waziri Mkuu. Malechela aligombea. Lowasa alitaka awe. Ni lini kilibadilishwa? Na sijui kwa nini walibadilisha. Huenda kitaondolewa katika Katiba mpya,na Mwigulu anajua hilo.Uwaziri mkuu ndio mwisho wake baada ya hapo ni benchi.
Nyerere peke yake ndio aliweza kuwa waziri mkuu kisha rais.
Nani kakudanganya Rais huwa anapatikana kwa kuwa upande wa Wananchi!?Mwigulu unapoteza muda wako tu na kufanya watu wazidi kukuchukia. Jiweke upande wa wananchi. Katika mazingira tuliyo nayo nchini kwa sasa, uraisi hauwezi kupatikana kwa namna yako ya kuongea ili umfurahishe raisi Samia alie madarakani na CCM. Unaongea kwa namna ambayo unajitenga sana na wananchi, soma nyakati.
Samia anapaswa kushirikiana na Mwigulu, sio Mwigulu kushirikiana na Samia.Wakatoliki kwahiyo sasa mmeamua kumkataa mwenzenu kisa tuh anashirikiana na samia??
Kweli chuki zenu hazina kifani
Wakatoliki mmeanza nae mapema mwigulu,2030 mbaliMwigulu unapoteza muda wako tu na kufanya watu wazidi kukuchukia. Jiweke upande wa wananchi. Katika mazingira tuliyo nayo nchini kwa sasa, uraisi hauwezi kupatikana kwa namna yako ya kuongea ili umfurahishe raisi Samia alie madarakani na CCM. Unaongea kwa namna ambayo unajitenga sana na wananchi, soma nyakati.
mwigulu ukatoliki wake sawa na wale waandamanaji wa kupeleka Petrol station kwa Papa wa kumi na sita, na kunukuu Wakorinto wa 13 hadi 10Wakatoliki kwahiyo sasa mmeamua kumkataa mwenzenu kisa tuh anashirikiana na samia??
Kweli chuki zenu hazina kifani
Nimesema katika mazingira tuliyo nayo sasa, tukitarajia mabadiliko ya mfumo wa kanuni za uchaguziNani kakudanganya Rais huwa anapatikana kwa kuwa upande wa Wananchi!?
Niliwaza kama wewe halafu nikabadili gia angani nikasema niachane na mawazo potofu kama yako .Mgongo wa Rais?????
Mwigulu unapoteza muda wako tu na kufanya watu wazidi kukuchukia. Jiweke upande wa wananchi. Katika mazingira tuliyo nayo nchini kwa sasa, uraisi hauwezi kupatikana kwa namna yako ya kuongea ili umfurahishe raisi Samia alie madarakani na CCM. Unaongea kwa namna ambayo unajitenga sana na wananchi, soma nyakati.
Urais siyo dunia kuzunguka jua kwamba njia ni ileile kila sikuUwaziri mkuu ndio mwisho wake baada ya hapo ni benchi.
Nyerere peke yake ndio aliweza kuwa waziri mkuu kisha rais.