Kama Mwigulu anadhani Uwaziri Mkuu na mgongo wa Samia vitambeba kuwa Rais ajaye basi amepotea sana

Urais siyo dunia kuzunguka jua kwamba njia ni ileile kila siku
Wakatoliki mshaanza kupambana na mwigulu 2030, safari hii zamu ya walutheri
Hivi raisi anaweza kuwa bora kw sababu tu ni Mkatoliki, au Msabato, au Mwislamu, au Mlutheri, au wa Gwajima sijui nk? Angalia signature yangu hapo chini, inakuhusu,kuhusu kuwaelimisha wajinga.
 
Usahihi. Mtu akishakuwa waziri mkuu hawezi tena kugombea urais mkuu. Urais kwa Mwigulu ndio basi tena.
Sheria gani inasema hivyo mkuu? Hivi Polepole ndiyo basi tena?
 
Kumbe hujui hapo ashakatwa kichwa! Huwezi kuwa Rais kama ulishakuwa PM
 
Huwezi kumtenganisha huyo jamaa na uropokaji, ushabiki maandazi, unafiki, ushamba, ujivuni, uhuni wa kijinga, uongo, dharau, nk.
 
Unatolewa kwenye relief kirahisi sana.

Uchaguzi wa 2025 haujafanyika bado,

Iweje ujadili mambo ya 2030.
 
Mwigulu unapoteza muda wako tu na kufanya watu wazidi kukuchukia. Katika mazingira tuliyo nayo nchini kwa sasa, urais hauwezi
Kwa vile anayepanga rais wetu awe nani,sio yeye, sio wewe,sio mimi,sio sisi wala sio wao,anayepanga ni YEYE,hivyo kama。Mwigulu amepangiwa na YEYE, then lazima atakuwa yeye, lakini kama hajapangiwa,hawezi kuwa hata akiyaandika jina majabali yote nchini

P
 
Kwani Nani anayempenda...????? Alichaguliwa na Nani..?? Rais, Mawaziri, Wabunge na Madiwani wote ni Haramu...
 
Kumbe maCCM ni mapuuzi kiasi hiki?
Ndiyo mkuu. Yanajifanya kuwa eti mtu akishakuwa makamu au waziri mkuu au spika hawezi tena kugombea urais. Haiko wala kwenye katiba yao bali ni makubaliano yasiyo rasmi kama la kubadilishana mkristo na mwislam. Ndiyo maana Polepole alikuwa anasema kwa kigezo hicho Samia hafai.
 
Huyu hafai hata kuongoza kundi la nyumbu. Hafai hata kuwa binadamu bali chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…