Kama Mwl. Nyerere angekuwa hai angemwambia Cyril Ramaphosa acha ujinga, mwache Zuma

Kama Mwl. Nyerere angekuwa hai angemwambia Cyril Ramaphosa acha ujinga, mwache Zuma

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Viongozi wanaoheshimika wamekwisha Afrika. ANC kitasambaratika kwasababu ya kukamiana wenyewe kwa wenyewe na kutengeneza a vicious cycle. Ramaphosa na mbeki wanamsulubu legendary mwenzao Zuma, dhambi hii itaimaliza South Africa na hasa chama tawala ANC.

Kama Mwl Nyerere (RIP) angekuwepo bila shaka angewakemea akina Ramaphosa waache kumwandama mwenzao kabisa Jacob Zuma kama vile alivyomnusuru Kenneth Kaunda dhidi ya vijana waliokuwa wakimwandama.

Bara la Afrika tumebakiwa na wapigaji TU sasa, wenye heshima ya kusikilizwa na wengine wamepungua sana kama sio kwisha kabisa.

Unadhani ni Rais gani au Rais mstaafu sasa hivi anaheshimika Afrika?
 
Back
Top Bottom