Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,996
- 6,290
Kwanini?Kabila muhimu sana
Hehe...kupima? mpaka anamleta weshafanya yao mala kibao.La kwanza amepima? Maana afya njema?
Ajira au kipato, pa kuishi?
Dini (muhimu) Kabila muhimu sana
Inategemea na maleziHehe...kupima? mpaka anamleta weshafanya yao mala kibao.
Loh we baba hufaiUmewahi tembea na wanaume wangapi usije kwenda nitia aibu
Mila na desturi tofautiKwanini?
una binti tutengeneze undugu?Swali ni moja tu...UNAMPENDA?.
kama ni ndio mlete hapa nimuone...jamaa akija nitampa risala ndefu hadi ashangae
Mzaliwa wa wapi unataka kujua uraia au?1. Anajishughulisha na nini?
2. Ni mzaliwa wa wapi?
3. Ni muadilifu kiasi gani?
Binti ninae lakini wewe nakukataa mchana mweupeeeeeuna binti tutengeneze undugu?
kisa?Binti ninae lakini wewe nakukataa mchana mweupeeeee
Maswali yako yote irrelevantLa kwanza amepima? Maana afya njema?
Ajira au kipato, pa kuishi?
Dini (muhimu) Kabila muhimu sana
Namuuliza..."Kwa hiyo umeamua kutekwa na kibaka"...?Karibu mzazi wa mwanamali na mzazi wa mwanamali mtarajiwa.
Nduguzangu tukimwayi atapoma 🙆1. Je, huyo mwanaume ana gari aina ya Bugatti, Lamborghini au Tesla?
2. Anamiliki angalao ndege 3 aina ya Bomberdia B747, B738 au B737?
3. Anamiliki angalau visima 5 vya mafuta huko Uarabuni?
4. Anamiliki hisa ngapi DP World?
5. Anamiliki kifaa chenye uwezo wa kwenda mwezini na kurudi siku hiyo hiyo?
6. Mara ya mwisho huyo mwanaume anataka kukuoa kufanya kikao Cha kibiashara na Puttin, Trump na Elon Musk ilikuwa lini?
7. Ni mrefu, mweusi na ana mwanya?
Huyo ndiyo mwanaume, maswali mengine ya kabila, dini ni ya kipuuzi.Hili kitu nakumbukaa nilikuwa 4m 1 ,cku hyo npo na mshuwa sebleni ,sister akamletea mshuwa habar km hz kapata mchumba ,,mshuwa alimuuliza tu sister swali mojaa UMEMPENDA ,,sister akajibu ndio baba ,,mshuwa akamwambia km ndio hvyo bac mm sinapingamizi.....
Now n miaka 12 Toka sister Alete mchumba na kuolewaa....
?Ulijibu nini
Ni sawa ndio maana tunatofautianaMaswali yako yote irrelevant