Kama mzazi, binti yako ndio amekuja kukuambia kuwa amepata mchumba, ni swali gani la kwanza utamuuliza binti yako?

Kama mzazi, binti yako ndio amekuja kukuambia kuwa amepata mchumba, ni swali gani la kwanza utamuuliza binti yako?

Swali ni moja tu...UNAMPENDA?.
kama ni ndio mlete hapa nimuone...jamaa akija nitampa risala ndefu hadi ashangae
 
Swali la.kwanza kutoka kwa mama tangu.
Anafanya kazi gani?
Swali la pili...kabila gani?
 
1. Je, huyo mwanaume ana gari aina ya Bugatti, Lamborghini au Tesla?
2. Anamiliki angalao ndege 3 aina ya Bomberdia B747, B738 au B737?
3. Anamiliki angalau visima 5 vya mafuta huko Uarabuni?
4. Anamiliki hisa ngapi DP World?
5. Anamiliki kifaa chenye uwezo wa kwenda mwezini na kurudi siku hiyo hiyo?
6. Mara ya mwisho huyo mwanaume anataka kukuoa kufanya kikao Cha kibiashara na Puttin, Trump na Elon Musk ilikuwa lini?
7. Ni mrefu, mweusi na ana mwanya?
Nduguzangu tukimwayi atapoma 🙆
 
Hili kitu nakumbukaa nilikuwa 4m 1 ,cku hyo npo na mshuwa sebleni ,sister akamletea mshuwa habar km hz kapata mchumba ,,mshuwa alimuuliza tu sister swali mojaa UMEMPENDA ,,sister akajibu ndio baba ,,mshuwa akamwambia km ndio hvyo bac mm sinapingamizi.....

Now n miaka 12 Toka sister Alete mchumba na kuolewaa....
Huyo ndiyo mwanaume, maswali mengine ya kabila, dini ni ya kipuuzi.
 
Back
Top Bottom