Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Mimi siyo mwanamke.Karibu mzazi wa mwanamali na mzazi wa mwanamali mtarajiwa.
Hiyo taarifa nina ipata kutoka kwa mama yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siyo mwanamke.Karibu mzazi wa mwanamali na mzazi wa mwanamali mtarajiwa.
Je, unamfahamu vizuri mchumba wako yaani mumeo au mkeo mtarajiwa ni mtu wa aina gani? akueleze strenght and weakness za mwenza wake. Kisha maswali mengine yatafuta hapo kwenye S-W zake ili kuhakikisha kama anaweza kuishi nae kwa kuzitatua au kuwa mvumilivu.Karibu mzazi wa mwanamali na mzazi wa mwanamali mtarajiwa.
Namba 3. Huwa inajibiwaje au inapimwaje sorry1. Anajishughulisha na nini?
2. Ni mzaliwa wa wapi?
3. Ni muadilifu kiasi gani?
😂😂 Kazi kweliUmewahi tembea na wanaume wangapi usije kwenda nitia aibu
Nafikiri baba anataka kujua kama boyfriend wa mwanae ana kiwango gani maadili katika jamii.Namba 3. Huwa inajibiwaje au inapimwaje sorry
Kwa hiyo utamuuliza kwa umombo!?Well, okay.
Tell me more about him.
Genious mshua wako.Hili kitu nakumbukaa nilikuwa 4m 1 ,cku hyo npo na mshuwa sebleni ,sister akamletea mshuwa habar km hz kapata mchumba ,,mshuwa alimuuliza tu sister swali mojaa UMEMPENDA ,,sister akajibu ndio baba ,,mshuwa akamwambia km ndio hvyo bac mm sinapingamizi.....
Now n miaka 12 Toka sister Alete mchumba na kuolewaa....
She loves me and i love her , smart upstairs, figure 8 ,she is humble and have respect , age 23Well, okay.
Tell me more about him.
Hata mimi ningeuliza tu hiliSwali la msingi ni moja tu~ unamwamini?
Nimependa maswali sita ya mwanzo!1. Je, huyo mwanaume ana gari aina ya Bugatti, Lamborghini au Tesla?
2. Anamiliki angalao ndege 3 aina ya Bomberdia B747, B738 au B737?
3. Anamiliki angalau visima 5 vya mafuta huko Uarabuni?
4. Anamiliki hisa ngapi DP World?
5. Anamiliki kifaa chenye uwezo wa kwenda mwezini na kurudi siku hiyo hiyo?
6. Mara ya mwisho huyo mwanaume anataka kukuoa kufanya kikao Cha kibiashara na Puttin, Trump na Elon Musk ilikuwa lini?
7. Ni mrefu, mweusi na ana mwanya?
Japo kwa maswali haya nadhani baba mkwe mtarajiwa atakuwa Muhaya tena mziba !1. Je, huyo mwanaume ana gari aina ya Bugatti, Lamborghini au Tesla?
2. Anamiliki angalao ndege 3 aina ya Bomberdia B747, B738 au B737?
3. Anamiliki angalau visima 5 vya mafuta huko Uarabuni?
4. Anamiliki hisa ngapi DP World?
5. Anamiliki kifaa chenye uwezo wa kwenda mwezini na kurudi siku hiyo hiyo?
6. Mara ya mwisho huyo mwanaume anataka kukuoa kufanya kikao Cha kibiashara na Puttin, Trump na Elon Musk ilikuwa lini?
7. Ni mrefu, mweusi na ana mwanya?
Binti akipass haya maswali yote kwa kiwango kizuri then umepata mkwe wa kumkabidhi mtoto wako ila ukiona haya maswali anayajibu kwa mashaka au kushindwa yajibu then unakwenda tafuta matatizo.Japo kwa maswali haya nadhani baba mkwe mtarajiwa atakuwa Muhaya tena mziba !