Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Astaghfirullah!Wakuu tunaelekea wapi? Bila shaka hii ni dar es salaam.
Mtoto ameshaanza kujifunza upuuzi akiwa katika umri huu?
View attachment 3464913
DUUH......mungu atusaidie watoto wakiume wanyooke,,,,Wakuu tunaelekea wapi? Bila shaka hii ni dar es salaam.
Mtoto ameshaanza kujifunza upuuzi akiwa katika umri huu?
View attachment 3464913
Walishafumua marindaWakuu tunaelekea wapi? Bila shaka hii ni dar es salaam.
Mtoto ameshaanza kujifunza upuuzi akiwa katika umri huu?
View attachment 3464913
Unatuchekesha msibani 😅Huyu ndio wa kufungwa mnyororo
Kwamba?Mbona lilishatolewa ufafanuzi hili