Kama mzazi imeniuma, kuna yeyote anamfahamu huyu mtoto?

Mbona imeshaswekwa humu na waziri Gwajima kaitwa..
 
Hapa wazazi wameshapoteza mtoto, huyu bado kupigwa PUMBU tu.

Wazee, tujitahidi kwenye malezi, mtoto wa kiume mfanye awe wa kiume.. Mtengenezee mazingira awe wa kiume
 
Wa kiume huyu, tayari watakua mabazazi wanafakamia akitoka tu hapo
 
Ila wabongo mko so obsessed na Ushoga, mtoto ni MC na hapo yuko eneo la kazi, ila cha ajabu Waja mmejaa ngenga za kiwaki.

Kwahiyo hayo maneno aliyo yaongea ndo Ushoga? Mngekua mnajua Ushoga ni nini kwanza, ndipo mngejua namna ya ku deal with.
Hii mihemko yenu ni buree, na mnajichoshaaa.
 
Maisha ya uswahilini miyeyusho sana ndio maana kama unaweza kuepuka usiishi kabisa uswahilini.
 
Watu wa uswazi wengi uelewa wao wa kuchakata mambo ni mdogo sana.
Elimu Elimu Elimu
RIP ENL
 
Nilitarajia kuona akitunukiwa vibao kadhaa vitakavyomlazimu kusitisha, ajabu naona katunukiwa buku 5!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…