Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Luckily ,Mpaka nakuwa mtu mzima sijawahi kuona dada yangu akienda disco wala kuvaa suruali si unajua pale maskani zetu tunataniana na mabro ...sasa kama dada yako chatoka wanakutania utajisikia vibaya ila sisters zangu walinipa respect sana mpaka wameolewa miaka zaidi ya 15 wapo kweny ndoa .Kipindi wakati nakua nakumbuka mabro ndo walikuwa kama walinzi. Wakikuona tu na kajamaa iwe chocho ama hadharani, utatimuliwa mpaka nyumbani na hapo jamaa anachimbwa mkwala mzito balaa. Ukirudia unapigwa (sister wangu alishapigwa)
Hivi makaka wa hivi waliendaga wapi? Siku hizi wengi wapo kidigitali sana!
Sijawahi kuona dada zangu wamevaa mawigi ,nguo fupi ,wala suruali zaidi ya zile za shule fully na hijabu wala kwenda disco 😂😂