Kama mzazi utajisikiaje?

Luckily ,Mpaka nakuwa mtu mzima sijawahi kuona dada yangu akienda disco wala kuvaa suruali si unajua pale maskani zetu tunataniana na mabro ...sasa kama dada yako chatoka wanakutania utajisikia vibaya ila sisters zangu walinipa respect sana mpaka wameolewa miaka zaidi ya 15 wapo kweny ndoa .

Sijawahi kuona dada zangu wamevaa mawigi ,nguo fupi ,wala suruali zaidi ya zile za shule fully na hijabu wala kwenda disco 😂😂
 
Ila kama wangekuwa ni chatoka mkuu si ingekuwa unamind? Au ungechukulia poa tu acha waende na wakati!
 
Wasanii watamrarua sana

Na hawa binti zetu wakishasikia msanii,k anampa bureee

Ova

Ni kweli wadada % kubwa beki hazikabi kwa msanii anayehit,niliwahi mshuhudia Mr Blue 2005 UDSM Grounds anapapatikiwa na watoto wa kishua ilikuwa bonanza ya familia ya wafanyakazi wa BP.
 
Bado tupo sema mambo yamekua mengi 😀😀Kuna siku nirusha Kofi lilokusanya pua mdomo na macho nikaanza kuambiwa habari za ukatili sijui Nini nini
 
Unaanzaje kumpiga dada yako aliyekuzidi gpa 😄
 
Siku hizi kuanzia miaka 10 hadi 70s wote wanalilia mihogo
Muache akapate haki yake si ameamua bwana
Harmonize anaiiita ndizi ya kumenyaa
Acha apewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama yupo kwake achana nae.
Ila kama yupo home unamuonya tu ajitahidi kubehave!
Hivi mtu anasomeshwa kwa mamilioni ya shs alafu bado hajui jinsi ya kufanya maamuzi kwa mambo madogo kama haya si ni hasara aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…