Kama mzee Makamba alirekebishwa kauli, kwanini kauli nzito ya Zitto dhidi ya TISS imebarikiwa?

Zitto mwanasiasa kiraka, yupo yupo tu, hata sishangai wasipomfanya chochote sababu wanajua wakimuhitaji wakati mwingine kwa mambo yao watampata.
 
TISS ni takataka inayokuwezesha wewe kupata usingizi na kuamka salama na kwenda kijiweni kupiga soga bila kuporwa wala tishio la usalama.

Ni taasisi yetu lazima tuienzi na kuisitiri sambamba na kuiboresha penye mapungufu
Usingizi kwa wezi na majambazi ya CCM, ilitumika na dikteta Magufuli kuua, kuteka, kupora pesa na kuwalinda wapumbavu kama Musiba, Sabaya na Makonda
 
Nashauri ZZK aongeze kupaza sauti ili hata watanzania wajinga wapatao 89%ya population waelewe kuwa Magu hakuwa mtu sahihi kutawala nchi yetu
Hakuna Mtanzania anayekubali haya matusi yako ya jumla jumla....Wewe sio Mtanzania.Haiwezekani ukawatukana ati kwasababu Sisi Watanzani ndie tulie mchagua, halafu hapohapo ututukane tena kuwa hatukuchagua mtu sahihi kwaajili ya nani?

Wazungu mna matatizo sana.

Ni Hayati John Pombe Magufuli. Tambua hilo.
 
Usingizi kwa wezi na majambazi ya CCM, ilitumika na dikteta Magufuli kuua, kuteka, kupora pesa na kuwalinda wapumbavu kama Musiba, Sabaya na Makonda
Ukabila hutasikiwa watu wa kanda Fulani wanatukanwa maana ndo wapo huku
 
TISS ni takataka inayokuwezesha wewe kupata usingizi na kuamka salama na kwenda kijiweni kupiga soga bila kuporwa wala tishio la usalama.

Ni taasisi yetu lazima tuienzi na kuisitiri sambamba na kuiboresha penye mapungufu
Tafuta muda wako mzuri kisha soma Makala zote za Dr. Noordin Jella ambazo ameandika kuhusiana na hicho kitu unachokipigia debe hapa.
Soma makala zake kwenye tovuti yake: www.noordinjella.livejournal.com
Au unaweza uka-google jina lake.
 

Kuwa na mahaba na nchi sio kuficha udhaifu wa taasisi yoyote ya nchi. Usichanganye nchi na taasisi, maana hizi taasisi zimefikia mahali zimeanza kutumikia uhuni na sio majukumu yao.
 
Siyo TUHUMA BALI NI UKWELI MTUPU 100% tena mengine kayasahau.
 
Zitto ndie limekuwa Kafara safari hii. Serikali haiwezi kujiondoa na yaliyotokea, kwani wameratibu. Hivi imekuwaje kwamba hakukua na notes Review? za Waongeaji? Kweli? Naungana na wengine hapa waliouliza....Alibarikiwa?, na nani? CHADEMA watasema Zitto alisema hawasemei, kwamba alikuwa hawariprizenti Vyama vingine? Hawajashangazwa. Serikali haijashangazwa Mimi na kama baadhi ya watu wameshangazwa. Aisee, zimetumika/zinatumika fedha nyingi na Wazungu.Au?
 
Vipi umeshafika rondo kuzika jitu lenu?
 
Tanzania ina wajinga wengi na wewe ni mmoja wapo.
 
Wafilisti wahiti wayebusi, walikuwa wanawekwa kwenye target na shetani ili waisrael wawaue?
Ushaambiwa hao walikuwa ni waanaki na wanefili, hakukuwepo na binadamu kamili hapo walipaswa kuondoshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…