Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Huyu ndo Caro mwnyw Sasa 🔥
Huyu ndo Caro mwnyw Sasa 🔥
Sawa baba kila la kheri!🫢Sinza mama nimeambiwa baada ya hapo naenda zanzibar kuuza madafu ufukweni lengo niopoe mzungu nitimize ndoto
Hutaki zawadi siku narejea?Sawa baba kila
La kheri!🫢
Narudiiii narudiiii narudiiiii....🏃🏃🏃🏃😎🤪Dah alienda kumtoa bikra masikini🥺
Mi sotaki ujue😮💨Kweli ni vitu adimu lakini hicho kitu adimu hakiwezi kupatikana hapo,
Haya kapande juu ya meza🏃
Sawa tu 😪Sio kuwatenga, ni uhalisia. 😁
SitakiHutaki zawadi siku narejea?
Ni mateso😩Narudiiii narudiiii narudiiiii....🏃🏃🏃🏃😎🤪
AkiYa mbele
😃😃🙌Watu tujifunze kua wa kweli,
Wengi sasa hivi watenda maovu ila wanajificha kwenye mgongo wa dini.
Miriam kajua kuumbuka! Nina uhakika alitolewa mahari akiwa na mimba tayari sababu tumbo ni kubwa! Lakini kutwa kujifanya bikra ooh nitafanya tendo nikiolewa kumbe anabinuka tu mbuzi kagoma kwenda!!
Hiyo interview niliiona lakini hapohapo alisema hajawahi kufanya tendo mwanaume atakayemuoa ndio atakua mwanaume wake wa kwanza.😃😃🙌
Jmn kuna interview alishasema haya sio mahusiano yale ya kwanza
Ngoja ningie utube
Ntakueletea ata vitenge na kadi za chamaSitaki
😂😂😂😂 Dah!Waja bana, eti Ruben picha zote alizo piga alikua kavaa begi, kumbe mwamba alijua kabisa hapo hakai sana muda wowote anasepa. Mwamba havui begi sijui Huwa anabeba Nini🤣🤣🤣🤣
So sad. I wish mambo yanyooshwe yakae sawa. N hiyo ndoa huyu binti kaipambania kweli. Sometimes I think huyo mwanaume naye kidogo hajielewi.Juzi pitapita mitandaoni, nikapata taarifa kuwa chirwa na rubeni wameachana, nikataka nijue chanzo, mana huyu Binti watanzania walikua nyuma yake kutokana na kile nacho amini kuhurumiwa,
Inasemekana sababu kubwa ya wao kuachana, ni kuwa ndugu wa mwanaume hawa kuwa tayari ndugu Yao amuoe huyu Binti sijui chanzo, kumbe hata yule mtu alienda kujitambulisha kuwa ni ndugu wa mwanaume kwenye kumposa chirwa kumbe si ndugu ni mtu tu alipangwa asimamie show.
Kama kaka nikaona Hilo linatatuliwa mbona jepesi tu, ni sisi watanzania kusimama kama ndugu wa chirwa na rubeni,
cha kushangaza inasemekana, alipotafutwa Ruben, nae kabadilika tena anadai chirwa ana dharau na hamuheshimu hapo nikapata mashaka huyu chirwa anavo pigania ndoa hivi na anajua kupata mume ni mtiti, kweli ni wa kumdharau Ruben, hapo sasa wanajua wao ila imenisikitisha sana.
Maswali ya kujiuliza
Chirwa kafanyiwa send off juzi, ilihali anajua ndoa hamna na wamesha achana na mume wake je hiyo send off ni ya mwanaume mwingine au? Na kama ni mwingine mbona umma hauja harifiwa?
Chirwa anadai amekubali na kuhusu mwanae atamlea yeye, ina maana tayari ana ujauzito, huyu chirwa ni muumini na ni mtu wa dini ina mana Ali ingiliana na Ruben kipindi wakiwa na mahusiano kabla ya ndoa?
Mambo ya Imani magumu sana.
Ngoja tusubiri nadhani labda watakalishwa chini hawa vijana kiwekwa sawa, Kuna muda tuwe tunasimama kama kaka na dada kuwasimamia hawa vijana, tusikubali kuacha kila jambo lipite.
Hapana mkuu hata huyo kijana nae kajitoa man ilikua ngumu kukaa na pisi kama chirwa, si kazi nyepesi hata huyo kijana anastahili pongeziSo sad. I wish mambo yanyooshwe yakae sawa. N hiyo ndoa huyu binti kaipambania kweli. Sometimes I think huyo mwanaume naye kidogo hajielewi.
Kwahiyo kajamaa kametoa bikra kakapita kushoto🙌🙌🙌🙌🙌Mahusiano sawa, lakini si huyu ndio kamtoa bikra🤭
Nyege zimeshinda dhidi ya Imani 😅😅😅Dah alienda kumtoa bikra masikini🥺