Kama na hawa wameachana basi, mahusiano ni magumu, aisee

Kama na hawa wameachana basi, mahusiano ni magumu, aisee

Kwa kweli anastahili pongezi, lakini why kuzingua hivyo mwishoni? Au naye alikuwa mpigaji tu wa kupiga na kusepa...

Kujitolea jitolee lakini ugangamale, siyo kumdhalilisha tena, ikizingatiwa anafahamu kabisa kuwa huyo binti alikuwa ashajijengea reputation nzuri sana kwa jamii na huyo jamaa ni mbwigira tu wala hafahamiki. A man with nothing to lose is very dangerous!!
I like the architecture of your thought! 💕
 
Hiyo interview niliiona lakini hapohapo alisema hajawahi kufanya tendo mwanaume atakayemuoa ndio atakua mwanaume wake wa kwanza.

Usihangaike kuitafuta nenda youtube andika miriam na mwasha sunday worship
Atakua muongo
Mmh labda kweli lkn🤣🤪
 
Kwanini ufanye ndoa siri? Maana ya maisha ni ku show off, nikioa lazima ulimwengu ujue na nikiacha lazima vivo hivyo, mfano nimenunua gari nataman nichomoe vioo hata na milango mnione ni nan naendesha na nimekakaaje humo ndan
 
Tausi Ndo nan
1000039856.png
 
Back
Top Bottom