Kama na hawa wameachana basi, mahusiano ni magumu, aisee

Watu tujifunze kua wa kweli,
Wengi sasa hivi watenda maovu ila wanajificha kwenye mgongo wa dini.

Miriam kajua kuumbuka! Nina uhakika alitolewa mahari akiwa na mimba tayari sababu tumbo ni kubwa! Lakini kutwa kujifanya bikra ooh nitafanya tendo nikiolewa kumbe anabinuka tu mbuzi kagoma kwenda!!
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ™Œ
Jmn kuna interview alishasema haya sio mahusiano yale ya kwanza
Ngoja ningie utube
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ™Œ
Jmn kuna interview alishasema haya sio mahusiano yale ya kwanza
Ngoja ningie utube
Hiyo interview niliiona lakini hapohapo alisema hajawahi kufanya tendo mwanaume atakayemuoa ndio atakua mwanaume wake wa kwanza.

Usihangaike kuitafuta nenda youtube andika miriam na mwasha sunday worship
 
So sad. I wish mambo yanyooshwe yakae sawa. N hiyo ndoa huyu binti kaipambania kweli. Sometimes I think huyo mwanaume naye kidogo hajielewi.
 
So sad. I wish mambo yanyooshwe yakae sawa. N hiyo ndoa huyu binti kaipambania kweli. Sometimes I think huyo mwanaume naye kidogo hajielewi.
Hapana mkuu hata huyo kijana nae kajitoa man ilikua ngumu kukaa na pisi kama chirwa, si kazi nyepesi hata huyo kijana anastahili pongezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ