binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
I like the architecture of your thought! 💕Kwa kweli anastahili pongezi, lakini why kuzingua hivyo mwishoni? Au naye alikuwa mpigaji tu wa kupiga na kusepa...
Kujitolea jitolee lakini ugangamale, siyo kumdhalilisha tena, ikizingatiwa anafahamu kabisa kuwa huyo binti alikuwa ashajijengea reputation nzuri sana kwa jamii na huyo jamaa ni mbwigira tu wala hafahamiki. A man with nothing to lose is very dangerous!!
HahahaaaYou are making this matter worse!
😂😂💔
Atakua muongoHiyo interview niliiona lakini hapohapo alisema hajawahi kufanya tendo mwanaume atakayemuoa ndio atakua mwanaume wake wa kwanza.
Usihangaike kuitafuta nenda youtube andika miriam na mwasha sunday worship
Kama kweli ndoa hajafunga mimba imeingiaje tena tumbo kubwaaAtakua muongo
Mmh labda kweli lkn🤣🤪
Kale kamwili na hiyo mimba ikifikisha miezi tisa cjui atakuwa na muonekano gn 😂Kama kweli ndo hajafunga mimba imeingiaje tena tumbo kubwaa
Kwani ndoa ilikuwa lini??🤣🤣🤣Kama kweli ndo hajafunga mimba imeingiaje tena tumbo kubwaa
Error ndogo ndogo hizo mkuu VERBOSEUmeandika nn hii?
Adui wa mwanamke n mwanamke 😂Atakua muongo
Mmh labda kweli lkn🤣🤪
17 May kama sikoseiKwani ndoa ilikuwa lini??🤣🤣🤣
Mbona tausi alibeba mimba vizuri tuKale kamwili na hiyo mimba ikifikisha miezi tisa cjui atakuwa na muonekano gn 😂
😎😃😃😃🙌Adui wa mwanamke n mwanamke 😂
Last yr?17 May kama sikosei
Mwaka huu jamaniiiLast yr?
Sasa mbona leo ndo 17 may, Au umechanganya files?Mwaka huu jamaniii
Tausi Ndo nanMbona tausi alibeba mimba vizuri tu
Ndo leo ilitakiwaSasa mbona leo ndo 17 may, Au umechanganya files?
Tausi Ndo nan
Dah wanaume tuna roho ya huruma sana aisee 🙌
Sasa kuna kisa nikikuhadithia kuhusu tausi utacheka uzimieDah wanaume tuna roho ya huruma sana aisee 🙌