hurrem_sultana
Senior Member
- Sep 6, 2018
- 136
- 361
Kumekua na katabia ka kuanzisha nyuzi za kitoto za tukutane hapa zinakera sana.
Mtu frm no where anakuja na uzi kama umewahi kula chakula basi tukutane hapa[emoji23] [emoji23] seriously?? kama umewahi kufanya ngono tukutane hapa n.k
Yani mambo mengine yanatia hasira tu
Mtu frm no where anakuja na uzi kama umewahi kula chakula basi tukutane hapa[emoji23] [emoji23] seriously?? kama umewahi kufanya ngono tukutane hapa n.k
Yani mambo mengine yanatia hasira tu