hurrem_sultana
Senior Member
- Sep 6, 2018
- 136
- 361
haya tumekujaKumekua na katabia ka kuanzisha nyuzi za kitoto za tukutane hapa zinakera sana.
Mtu frm no where anakuja na uzi kama umewahi kula chakula basi tukutane hapa[emoji23] [emoji23] seriously?? kama umewahi kufanya ngono tukutane hapa n.k
Yani mambo mengine yanatia hasira tu
Sisi ambao hatutaki kukutana hapa, tukakutane wapi?Kumekua na katabia ka kuanzisha nyuzi za kitoto za tukutane hapa zinakera sana.
Mtu frm no where anakuja na uzi kama umewahi kula chakula basi tukutane hapa[emoji23] [emoji23] seriously?? kama umewahi kufanya ngono tukutane hapa n.k
Yani mambo mengine yanatia hasira tu
Karibuuhaya tumekuja
Haaa wewe ni lissu?Kama umewahi kupigwa risasi na kupona tukutake hapa.
Wapo insta mida hii wanakula ubuyu wa tz free p**sy swt heartHaya wanaume wa dar njooni hapa mjibu
DmSisi ambao hatutaki kukutana hapa, tukakutane wapi?
Haaa wewe ni lissu?
Cha ajabu wakati wengine wanaanzisha nyuzi kulegeza wadada, nyuzi taamu, sisi tunalegea na kulainika halafu tunaenda kukazwa na ambao hata huo muda hawana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu wanaumwa ugonjwa wa kuanzisha thread!
Yaan anatamani tu kila mara aandike!
Wapo wengi sana ila wana matarajio tofauti!
Umaarufu wa Jf
Mademu wa JF
Like za Jf nk nk
Sie wengine tupo kwa ajili ya kucoment na kulike na mara moja moja vijiuzi vya kawaida kawaida ila tupo tu.
Wale wazee wa KUCOMENT NA KULIKE TUKUTANE HAPA
Cute B umetisha aseee!!Cha ajabu wakati wengine wanaanzisha nyuzi kulegeza wadada, nyuzi taamu, sisi tunalegea na kulainika halafu tunaenda kukazwa na ambao hata huo muda hawana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda umaarufu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cute B umetisha aseee!!
Mkilegezwa JF mnashughulikiwa kwingine Daaah
Umenipunguzia machungu yangu ya leo maana sio kwa cheko hili
NakaziaKuna watu wanaumwa ugonjwa wa kuanzisha thread!
Yaan anatamani tu kila mara aandike!
Wapo wengi sana ila wana matarajio tofauti!
Umaarufu wa Jf
Mademu wa JF
Like za Jf nk nk
Sie wengine tupo kwa ajili ya kucoment na kulike na mara moja moja vijiuzi vya kawaida kawaida ila tupo tu.
Wale wazee wa KUCOMENT NA KULIKE TUKUTANE HAPA
Kama kawa mie namwaga mi like tuNakazia
Gihiiiiiii..... Nipo kufika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli. Nyuzi zao tunazisoma tunalowa,..halafu tunaenda kukaushwa pengine mkuu.[emoji23][emoji23] maisha kusaidiana washike mapembe ng'ombe akamuliwe.
Endeleeni kufungua nyuziGihiiiiiii..... Nipo kufika[emoji23]