Hahaa ...Kuna watu wanaumwa ugonjwa wa kuanzisha thread!
Yaan anatamani tu kila mara aandike!
Wapo wengi sana ila wana matarajio tofauti!
Umaarufu wa Jf
Mademu wa JF
Like za Jf nk nk
Sie wengine tupo kwa ajili ya kucoment na kulike na mara moja moja vijiuzi vya kawaida kawaida ila tupo tu.
Wale wazee wa KUCOMENT NA KULIKE TUKUTANE HAPA
daahh kama ndio uko hivyo kweli kama hiyo avatarWapo insta mida hii wanakula ubuyu wa tz free p**sy swt heart
life is not fairCha ajabu wakati wengine wanaanzisha nyuzi kulegeza wadada, nyuzi taamu, sisi tunalegea na kulainika halafu tunaenda kukazwa na ambao hata huo muda hawana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda umaarufu!!
SawaMkutanoni[emoji3][emoji3]
Tukutane kule[emoji3][emoji3][emoji3]Sisi ambao hatutaki kukutana hapa, tukakutane wapi?
Tukutane kule[emoji3][emoji3][emoji3]