Kama na wewe unakerwa na nyuzi za "TUKUTANE HAPA" basi tukutane hapa

Kama na wewe unakerwa na nyuzi za "TUKUTANE HAPA" basi tukutane hapa

Kuna watu wanaumwa ugonjwa wa kuanzisha thread!
Yaan anatamani tu kila mara aandike!
Wapo wengi sana ila wana matarajio tofauti!
Umaarufu wa Jf
Mademu wa JF
Like za Jf nk nk
Sie wengine tupo kwa ajili ya kucoment na kulike na mara moja moja vijiuzi vya kawaida kawaida ila tupo tu.

Wale wazee wa KUCOMENT NA KULIKE TUKUTANE HAPA
Hahaa ...
 
Cha ajabu wakati wengine wanaanzisha nyuzi kulegeza wadada, nyuzi taamu, sisi tunalegea na kulainika halafu tunaenda kukazwa na ambao hata huo muda hawana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Labda umaarufu!!
life is not fair
 
Back
Top Bottom