Kama Nabi ataondoka kweli Yanga, hamalizi miezi sita huko aendako, atafukuzwa

Robertinho mwenyewe kashakuwa mbabe wake. Popote atakapoenda, Simba wana uhakika wa kujipigia.
 



Ukiangalia mafanikioa ya soka la Tanzania yanaendaka kabisa na uwekezaji, mama ni Kuloga, basi coastal wangefanya vizuri sana.

Anyway, nisikuchoshe, akili huna
 
Yaani mpira unaanza tu mtu anabutua nje!!!! ,What the fck. Hawa akina Fei Toto ulaya watapasikia km tunavyopasikia mbinguni
 
AC Leopards si ya DRC hiyo? Jiongeze....kuna mambo ukiyajua kuhusu mpira wa Afrika utastaajabu ya Mussa.
Mambo gani hayo
Mbona timu zetu za Africa kila mwaka zinaishia robo kwenye WC
Kwa Nini hayo mambo hayatusaidii tuchukue kombe ?
 
Mambo gani hayo
Mbona timu zetu za Africa kila mwaka zinaishia robo kwenye WC
Kwa Nini hayo mambo hayatusaidii tuchukue kombe ?
Sijasema yanasaidia au hayasaidii, ninachosema yanafanyika sana kama mleta mada alivyosema.
 
Muda wa kuondoka Prof Nabi Utopoloni haujafika , enyi Mbumbumbu Fc acheni Ramli chonganishi! Yani utopolo kubeba makombe misimu miwili mfululizo mnataka Nabi aondoke kwanini mmekuwa wanga namna hii! Huu ni muda wetu kufurahi ongeleeni ya kwenu!
Prof Nabi ni kila kitu Utopoloni akiondoka tumekwisha!

Eng Hersi mtu akija ofisini kwako kuongea nawe anaona wazi ulivyo mtu makini and smart please shikilia bomba kwa Prof Nabi mpe pesa akae misimu kumi makolo wote waendelee kutulia Maana Wana midomo sana na miaka miwili Sasa hawana kombe la bara wako kimyaaa wameloaaaa!
 
Kama kawaida yenu,kuwalaani waliopita kwenu,mpira ni ajira,mtu anakwenda, palipo na maslahi zaidi
 

Nabi alipo itoa Yanga na alipifikisha no doubt ni kocha mzuri, yaani Yanga ya kina Molinga na Yikpe mpaka ya akina Mayele, jamaa ni Genius, maana kipindi kile cha kina Molinga hata kutizama mechi nilikuwa naona uvivu.

Hizi habari za kuondoka ni tetesi ila Kolo FC mmezishikia bango.
 
Kishingo yuko Wydad Leo anaweza akaenda huko na akafanya vizuri zaidi sisi tuna ligi ya hovyo ya kukomoana ligi ambayo team inayowakilisha kimataifa inapewa ratiba ngumu isiyotoa nafasi ya kujiandaa kwa wachezaji wala kupumzika sembuse huko wanakojali!?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simba bado wanavishoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]simba kwasasa ni timu ya ndondo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uchuro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…