Pre GE2025 Kama Nape na Makamba wamewekwa kando, si Mwigulu, Biteko, Tulia, Mwinyi, Makonda wala Majaliwa watamrithi kiti Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uelewa huru!

Deep state imetengeneza uadui wa pande mbili !
Mkojani vs msoga team

Sasa mtafutano utaanza ,msoga team ana Siri zote za mkojani wakati mkojani kashika stronghold!

Damage ya mapambano ndio itawasaidia DS kusena stop na kumleta atakaeokoa chama!!

Hali ndivyo ilivyo!

Subirini muone watakavyopukutika watu Kwa COVID-19 ijayo kama kivuli Cha vita halisi isiyoonekana!!
 
Vipi Anthony Mtaka State hawajamwona?
 
Huu ushawishi wa January uko wapi, maana mtaani kila.mtu hana ham na huyo mtu, kwenye umeme alijiharibia kabisa
Jina lake linakuzwa tu, lakini si kihivyoooo. Watu wanamuogopa bila sababu. Kuwa eti ni mtoto wa almaarufu haina mashiko. Kwani yeye ni almaarufu kuliko Makongoro Nyerere?
 
Nimekusoma between the line nimeona unahoja mkuu,

Hii vita ni kweli nani hakika.
 
Nikitazama ukwasi na ushawishi ilionao team hii ya kinara January Makamba nashawishika kuamini si Mwigulu, Biteko, Makonda, Tulia, Mwinyi, Mchengerwa, Jaffo, Bashe, Kikwete wala Majaliwa wataunusa Urais 2025 wala 2030.
Bibi kauvaa mkenge, team yoyote ambayo Kikwete ana maslahi nayo haijawahi kushindwa. Kikwete atamnyong'o yesha mama huku akimchekea.

Jiwe angekuwa hai angesimulia kilichompata, pamoja na kujaribu kulindwa na wanyarwanda lkn bado ilishindikana. Sembuse huyu professional wa jikoni!
 
Kama kweli kawaondoa kikweli kweli isiwe ni kiuongo uongo kimkakati 👍
 
Kunavita inapiganwa hapa siopoa kabisaa inakuhitaji kutumia akilisana Siasa hai kosawa kwasasa 📝 ndani ya nchiyeti
 
Yaan ww ndi

Mungu hawezi kuwaacha watanzania waibiwe, na pia waongozwe na wajinga na wapumbavu na pia majambaz kama hao, miaka yote.Enough is enough.
Umena vyema sana; naona wewe upo kiroho kidogo kuliko wachangiaji wengine
Kumbuka kuwa huyu aliyepo sasa hatukumuweka sisi; aliwekwa na Mungu. kwa hiyo ukitaka kujua mission ya Mungu kwa Tanzania kwamba anataka kufufanyia nini; mwangalie huyu aliyepo sasa yale anayofanya; hafanyi yeye bali anafanya Mungu, na si lazima yote yakupendeze machoni pako. Huyu wa sasa yeye anatumiwa tu na Mungu. God picked her for His mission
 
Huu ushawishi wa January uko wapi, maana mtaani kila.mtu hana ham na huyo mtu, kwenye umeme alijiharibia kabisa
Hao watu wa mtaani sio wanaomuweka Rais ndio mana hutosikia wasaka urais wanahangaika nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…