EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Nawe ulifanya utafiti gani kubaini ni maneno tuNani huyu
Ni maneno tu, kama yana ukweli achukue hatua! Haukuona taarifa rasmi bali maneno ya jukwaani
Haiwezekani mtu afike ngazi ya uwaziri halafu useme uraia wake una mashaka, hiyo nchi itakuwa haiko serious. Waziri anaingia kwenye baraza la mawaziri halafu asiwe raia BILA USHAHIDI NI POROJO TU