Pre GE2025 Kama Nape na Makamba wamewekwa kando, si Mwigulu, Biteko, Tulia, Mwinyi, Makonda wala Majaliwa watamrithi kiti Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hao watu wa mtaani sio wanaomuweka Rais ndio mana hutosikia wasaka urais wanahangaika nao
Hata huko kwenye chama zaidi ya hao msoga gang nani tena alikua anamtaka huyo jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…