Kama nawaona mlioajiriwa mnavyoenda ofisini kufokewa na ma boss

Kama nawaona mlioajiriwa mnavyoenda ofisini kufokewa na ma boss

Mmmh, inategemea unazungumzia ajira za, wapi, kama ni vituo vya kuuza mafuta,kwenye ma supermarket, vijana wale wa kuuza line za siku, freelancer , kwa muhindi, viwandsni kama urafiki, nk, salary chini ya 1.5M! Hapo sawa.

Lakini upo UN, umoja wa, Ulaya, BOT, Epiroc, vertive, master power, acha uta ni mazee, kufokewa, kitu gani, na unakunja kuanzia 9M +kwa mwezi!!!!

Kafokewa makamu wa, Rais na analipwa 60M+!! It's, part of life, wengine mbona wanafokewa na wake zao!!!!!
 
Mmmh, inategemea unazungumzia ajira za, wapi, kama ni vituo vya kuuza mafuta,kwenye ma supermarket, vijana wale wa kuuza line za siku, freelancer , kwa muhindi, viwandsni kama urafiki, nk, salary chini ya 1.5M! Hapo sawa,
Lakini upo UN, umoja wa, Ulaya, BOT,Epiroc,vertive, master power, acha uta ni mazee, kufokewa, kitu gani, na unakunja kuanzia 9M +kwa mwezi!!!!
Kafokewa makamu wa, Rais na analipwa 60M+!! It's, part of life, wengine mbona wanafokewa na wake zao!!!!!
Ukisoma vizuri nimeandika walioajiriwa ambao wapo ngazi za kawaida
 
Maisha ya kuajiriwa ni utumwa na mateso haswa kwa watu ambao wapo ngazi za kawaida kwenye maofisi full manyanyaso, poleni sana waajiriwa msijisahau sana na ajira wekeni mikakati ya kujinasua mjiajiri au kufungua vitega uchumi vyenu

Asante kwa ushauri. Kiukwli hii Taasisi iliyoniajiri najiona nikifa njaa huku najiona...napata net pay ya 980k hiyo hiyo ndiyo nauliza Chakula, ada ya watoto, kupangisha vyumba viwili, maji,...na nipo Dar Maisha Magumu sana
 
Mungu akufanyie wepesi kk upate tobo
 
Back
Top Bottom